Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwasiti: Napromise March nitamuweka boyfriend wangu kwenye mtandao

Baada ya maswali kuwa mengi kuhusu uhusiano baina ya mtangazaji wa EATV/EA Radio, Sam Misago na mwimbaji Mwasiti Almasi, wawili hao wameamua kuzikanusha kwa pamoja taarifa hizo kupitia kipindi cha Friday Night Live cha EATV jana Feb 6. Tarehe 6 Feb. ilikuwa ni birthday ya Sam Misago, na katika kuisheherekea aliwakaribisha studio za EATV wasanii […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

‘Iggy Azalea aliumizwa na maneno ya Nicki Minaj kwenye tuzo za BET’ asema boyfriend wake

Pamoja na rapper mwenye asili ya Australia, Iggy Azalea kudai kuwa hakusumbuliwa na maneno ya Nicki Minaj kwenye tuzo za BET mwishoni mwa mwezi uliopita, mpenzi wake Nick Young anayecheza kikapu na timu ya Los Angeles Lakers, ameliambia New York Daily News kuwa kauli ya Nicki na maneno ya watu mtandaoni, vilimuumiza ‘demu’ wake huyo. […]

 

10 years ago

Bongo5

Mwasiti asimulia mazingira magumu yaliyopo kwenye shule za vijijini ‘hali ni mbaya jamani’

Muimbaji wa ‘Serebuka’ Mwasiti amedai kuwa anasikitishwa mno na ukweli kuwa wanafunzi wengi wa shule za msingi nchini hawana madawati na bado wanakalia mawe. Mwasiti amesema hivi karibuni amekuwa akizunguka katika mikoa mbalimbali kutembelea shule katika majukumu yake ya kampeni za elimu. “Hali ni mbaya jamani,” amesema Mwasiti. Mwanafunzi anayesoma katika moja ya shule za […]

 

10 years ago

GPL

MKE: MUME WANGU AMENIPIGA MSHALE KWENYE MAKALIO

Stori:  Timothy Itembe Tarime, MARA UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni! Mwanamke mmoja, mkazi wa Kitongoji cha Buriba, Kijiji cha Sirari wilayani Tarime, Mara aitwaye Bunyige Chacha (25) amepigwa mshale kwenye makalio na mumewe, Ghati Nyamarandi kisa kikidaiwa kuanzia kwenye pesa ya mahari na watoto. Ghati  Bunyige akiwa amekaa kwenye benchi akisubiri huduma ya matibabu katika… ...

 

9 years ago

Bongo5

Dogo Janja: Naogopa kumwanika mpenzi wangu kwenye mitandao

Rapper wa Tip Top Connection, Dogo Janja amesema yeye ni miongoni mwa watu ambao hawawezi kuwaweka wazi wapenzi wao kwenye mitandao. Dogo Janja ameiambia Bongo5 kuwa kitu anachoogopa ni kuanza kutupiana maneno wakati wanapoachana. “Unajua mapenzi ya kwenye mitandao ukigombana tu na mpenzi wako au mkikosana, watu wataanza kutupiana maneno ingawa kwa watu wengine haitokei,” […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Msako kwenye mtandao wa Instagram

Mtandao wa kijamii wa Instagram umefuta mamilioni ya akaunti za watumiaji wa mtandao huo ambazo zilikuwa zikituma ujumbe ovyo ovyo kwa watumiaji wengine wa mtandao huo.

 

10 years ago

Habarileo

Fastjet watumia Kiswahili kwenye mtandao

KAMPUNI ya Ndege ya Fastjet, imezindua matumizi ya lugha ya Kiswahili katika mtandao wake na hivyo kuufanya kuwa wa aina yake miongoni mwa mashirika ya ndege barani Afrika.

 

11 years ago

Michuzi

MAPINDUZI MAKUBWA YAFANYIKA KWENYE BIASHARA YA MTANDAO


Kwa mara nyingine napenda kuwashirikisha mtandao wa kitanzania ulio na nia ya kuwakomboa wafanyabiashara wadogo,wa kati na wakubwa katika kuwafikia wateja wao kwa ukaribu zaidi. Pia  kupitia mtandao huu utaweza kutangaza chochote unachopenda umma ujue kwani tumethibitika kuwafikia watanzania wengi kwa siku pia hata watembeleaji wengi zaidi toka nchi za nje.
Timu ya  KAJO ITECH Kwa umakini mkubwa itaendesha mtandao huu wa CHOCHOTE pia kufanikisha kuwa ndio suluhisho kwa watanzania wengi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Densi ya Drake yatamba kwenye mtandao wa TikTok

Mwanamuziki wa Rap Drake ametoa video ya wimbo wake mpya wa Tossie Slide akisakata densi ambayo imehamasisha densi mpya kwenye mtandao wa Tik Tok.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani