Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fastjet watumia Kiswahili kwenye mtandao

KAMPUNI ya Ndege ya Fastjet, imezindua matumizi ya lugha ya Kiswahili katika mtandao wake na hivyo kuufanya kuwa wa aina yake miongoni mwa mashirika ya ndege barani Afrika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mtandao wa Marekani waisifia cover ya Kiswahili ya ‘Hello’ iliyoimbwa na MKenya, Dela

Dela-Maranga

Dela ni muimbaji kutoka Kenya aliyeingia kwenye orodha ya wasanii wengi duniani waliofanya cover ya hit song ya muimbaji wa Uingereza, Adele-Hello, lakini yeye akiwa ameifanya kwa lugha ya Kiswahili.

adele na dela

Cover hiyo ya Kiswahili imesifiwa na watu wengi ikiwa ni pamoja na mtandao mkubwa wa Marekani, Perez Hilton waliodiriki kusema kuwa ni kali kuliko original version ya Adele.

This is INCREDIBLE! RT @Adele's #Hello in Swahili might be the best cover yet. Listen HERE! https://t.co/qWiE83UNcv...

 

10 years ago

Dewji Blog

Fastjet kwenye maadimisho ya miaka 70 ya kimataifa ya safari za anga duniani

1

Ofisa Habari na Masoko wa Fastjet, Lucy Mbogoro, (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dr.Shaaban Mwinjaka katika maadhimisho ya miaka 70 ya Kimataifa ya safari za Anga Duniani yaliyoanza jana mpaka Desemba 5 mwaka huu katika Viwanja vya Makao Makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCCA) Dar es Salaam, kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya TCCA, na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Charles Chacha.

2

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dr. Shaaban Mwinjaka (wapili...

 

10 years ago

Dewji Blog

NSSF waitandika Fastjet 5-4 kwenye mashindano ya Clouds Sports Extra Bonanza

ONE - COSTANTINE CHACHA AGAINST NSSF

Captain wa timu ya Fastjet, Constantine Chacha akifunga goli kwa njia ya penati dhidi ya kipa wa timu ya NSSF kwenye mashindano ya Clouds Sports Extra Bonanza yalifanyika siku ya mei mosi kwenye viwanja vya Leaders. NSSF walishinda kwa penati 5-4 na kuwafanya Fastjet kushika nafasi ya tatu kwenye bonanza hilo. SITA - KOCHA Mwalimu wa timu ya Fastjet, Kocha Diego akiwapa maelekezo wachezaji wake. TANO - WARM UP2 Wachezaji wa timu ya Fastjet wakifanya mazoezi ya kujiandaa (warm up) kabla ya kuanza Bonanza la...

 

9 years ago

Bongo5

Fastjet kuibukia kwenye soko la Kenya hivi karibuni baada ya kupata leseni

Nimepokea habari kwa furaha kubwa kama walivyo wasafiri wengi wa kwenda Nairobi au kuja Dar es Salaam kutokea Nairobi na miji mingine nchini humo. Kwa muda mrefu kampuni hiyo ya ndege yenye bei nafuu iliyoweza kufanya mapinduzi ya usafiri wa anga, imekuwa ikihangaikia kuingia soko la Kenya bila mafanikio lakini kwa habari ambazo zimeanza kuzagaa […]

 

9 years ago

MillardAyo

Cover ya ‘Hello’ iliyoimbwa kwa Kiswahili yapokea pongezi kubwa… imewagusa mtandao huu wa Marekani!

Ujio wa Adele kwenye headlines za muziki umekuwa moja ya matukio makubwa kwenye kurasa za burudani kwa mwaka huu wa 2015. Baada ya ukimya wa miaka minne, Adele alirudi kuchukua nafasi yake kwenye chati za muziki na ujio wa single yake ya kwanza ‘Hello’, single inayopatikana kwenye album yake mpya, 25. Toka kipindi hicho, wimbo […]

The post Cover ya ‘Hello’ iliyoimbwa kwa Kiswahili yapokea pongezi kubwa… imewagusa mtandao huu wa Marekani! appeared first on...

 

9 years ago

Mtanzania

Kleyah: Lugha ya Kiswahili inavutia kwenye muziki

bg1NA CHRISTOPHER MSEKENA

MKALI wa wimbo wa ‘Msobe Msobe’, Claire Pamela Kamahoro ‘Kleyah’ ameweka wazi kwamba wasanii wa Tanzania wana nafasi kubwa ya kupata mafanikio kimataifa kwa kuwa lugha ya Kiswahili wanayoitumia katika nyimbo zao inapendwa na watu wa mataifa mbalimbali.

Msanii huyo katika wimbo huo aliomshirikisha mkali wa sauti, mpigaji vyombo mbalimbali vya muziki nchini na mmiliki wa studio ya High Table Sound, Barnaba Elias ‘Barnaba Boy’, umezua mengi huku wengi wakimfananisha na...

 

11 years ago

Mwananchi

Makosa katika uandishi kwenye magazeti ya Kiswahili

Napenda kuendelea na makala zangu kuhusu makosa yanayojitokeza katika uandishi kwenye magazeti ya Kiswahili hapa nchini. Mifano ni kama ifuatayo:

 

10 years ago

BBCSwahili

Msako kwenye mtandao wa Instagram

Mtandao wa kijamii wa Instagram umefuta mamilioni ya akaunti za watumiaji wa mtandao huo ambazo zilikuwa zikituma ujumbe ovyo ovyo kwa watumiaji wengine wa mtandao huo.

 

11 years ago

Mwananchi

Udhaifu wa Kiswahili ulivyojikita kwenye vyombo vya habari

Inafahamika kuwa Tanzania ni kitovu cha lugha ya Kiswahili na hili halina ubishi. Kutokana na hali hii, mataifa mengi yenye taasisi za lugha kama vituo vya kufundisha Kiswahili na utamadani wake vinaitegemea sana Tanzania kama chanzo cha taaluma ya Kiswahili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani