MWENDESHA BAJAJ AJERUHIWA KATIKA AJALI TEGETA
![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuUH5UCRVrbIZ4YitqK6m*j1Fb5zq*XHoV7ZqiPpYrnGBufecCLUIeKHggqGGtDx*PtFVsYlWoq58mEWrAGtOPgI/IMG20140924WA0008.jpg)
Dereva wa Bajaj iliyogongwa na Coaster eneo la Tegeta jana akiwa na majeraha mkononi. Bajaj ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugongwa na Coaster. AJALI hii imetokea jana eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam ikilihusisha daladala aina ya Toyota  Coaster lililokuwa likiendeshwa kwa mwendo kasi na kuigonga Bajaj ambapo dereva wa Bajaj na mpiga debe mmoja aliyekuwa eneo hilo wote  walijeruhiwa.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMWENDESHA PIKIPIKI ANUSURIKA KATIKA AJALI MOROCCO
10 years ago
Dewji Blog04 Dec
Watu wawili wafa papo hapo katika ajali mkoani Singida baada ya bajaj kugongwa na Fuso
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Na Nathaniel Limu, Singida
Watu wawili wamefariki dunia katika ajali mkoani Singida,baada ya bajaj waliokuwa wakisafiria kugongwa na gari aina mitsubishi fuso lenye namba za usajili T.641 AVA lililokuwa likiendeshwa na Modest Kisaka (27) mkazi wa Mughanga manispaa ya Singida.
Watu hao ni pamoja na derive wa bajaj hiyo yenye namba za usajili MC 866 ABW aina ya YVS, Thadei...
10 years ago
Habarileo15 Mar
Basi la Osaka lapata ajali, mmoja ajeruhiwa
ABIRIA 57 wa basi la Osaka lililokuwa linatoka Bukoba kwenda Dar es Salaam wamenusurika kifo baada ya basi hilo kugonga tela la lori lililokuwa limeegeshwa kutokana na kuwa bovu na kutumbukia mtaroni.
10 years ago
Zitto Kabwe, MB27 Nov
TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KATIKA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW ILIYOKUWA KATIKA BENKI KUU YA TANZANIA
TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KATIKA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW ILIYOKUWA KATIKA BENKI KUU YA TANZANIA
View this document on Scribd![](https://pixel.wp.com/b.gif?host=zittokabwe.wordpress.com&blog=12675215&post=3424&subd=zittokabwe&ref=&feed=1)
11 years ago
Zitto Kabwe, MB29 Jun
Fedha za zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL, (Tegeta Escrow account) ni mali ya umma
Fedha za zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL, (Tegeta Escrow account) ni mali ya umma
![TWO-MBILI Courtesy:The Citizen](http://zittokabwe.files.wordpress.com/2014/06/tumbili.jpg?w=300&h=236)
TWO-MBILI
Courtesy:The Citizen
Fedha za zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL, (Tegeta Escrow account) ni mali ya umma
Zitto Kabwe
Kwa mara nyingine serikali kupitia viongozi na watendaji wake akiwamo Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), wamedai kwamba kiasi cha Dola za Marekani milioni 250 zilizopaswa kuendelea kuwapo katika ‘Tegeta Escrow Account’ si mali ya serikali na hivyo si mali ya umma....
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-f9lqJEtlw9o/VnQeGWgg4FI/AAAAAAAINRM/f3tyDe7szOg/s72-c/IMG_8683.jpg)
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA MITAMBO YA GESI YA TEGETA JIJINI DAR.
Na kukagua mitambo hiyo leo na kubaini kuwa umeme uniti moja inatengenezwa kwa gharama ya shilingi 90 na kuuzwa kwa wananchi kwa shilingi 180 ikiwa ni kiwango kikubwa kwa...
11 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-6WAt19OePqw/U9A1PgFWD3I/AAAAAAAF5UQ/KiwdJNW6ltg/s1600/unnamed.jpg?width=650)
MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA AOMBOLEZA VIFO VYA ABIRIA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-6WAt19OePqw/U9A1PgFWD3I/AAAAAAAF5UQ/KiwdJNW6ltg/s72-c/unnamed.jpg)
MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA AOMBOLEZA VIFO VYA ABIRIA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vmSCjfwaT_Y/VVBNx6yV-8I/AAAAAAAHWlo/eegjN9HMDcg/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-05-11%2Bat%2B9.34.04%2BAM.png)
WATU KUMI NA TANO WAJERUHIWA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU KATIKA BARABARA YA NJOMBE/MBEYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-vmSCjfwaT_Y/VVBNx6yV-8I/AAAAAAAHWlo/eegjN9HMDcg/s640/Screen%2BShot%2B2015-05-11%2Bat%2B9.34.04%2BAM.png)
AJALI HIYO IMETOKEA MNAMO TAREHE 10.05.2015 MAJIRA YA SAA 20:10...