Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWENGE WA UHURU WAWASILI MKOA WA DAR ES SALAAM‏

 Mkuu wa Wilaya ya Mafia Sauda Salum Mtondoo akikimbiza Mwenge wa Uhuru kwa ajili ya kuukabidhi tayari kuanza ziara yake Mkoani Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Mafia Sauda Salum Mtondoo (mwenye T-shirt nyeupe) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bi. Mwantumu Mahiza leo jijini Dar es…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

MWENGE WA UHURU WAWASILI MKOA WA DAR ES SALAAM‏

Mkuu wa Wilaya ya Mafia Sauda Salum Mtondoo akikimbiza Mwenge wa Uhuru kwa ajili ya kuukabidhi tayari kuanza ziara yake Mkoani Dar es Salaam.

Mkuu wa Wilaya ya Mafia Sauda Salum Mtondoo (mwenye T-shirt nyeupe) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bi. Mwantumu Mahiza leo jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bi. Mwantumu Mahiza akikimbiza mwenge wa Uhuru Tayari kwa kuukabidhi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck Sadiki.

(Picha na Hassan Silayo na Benjamin Sawe)

 

11 years ago

Michuzi

MWENGE WA UHURU WAWASILI ZANZIBAR KUTOKEA DAR ES SALAM NA KUKABIDHIWA MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI.

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Said Meck Sadikiakimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Abdallah Mwinyi Khamis, makabidhiano hayo yamefanyika uwanja wa ndege mkongwe Kiembesamaki leo. Vijana wa Chipkizi wakiimba nyimbo ya Mwenge. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Ikulu na Utawala Bora Dkt. Mwinyihaji Makame akishika mwenge wa Uhuru ulipowasili Zanzibar. Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Hamza Ibrahim kutoka Mjini Magharibi na maaskari wakiukimbiza Mwenge.
  Mkuu wa Mkoa wa...

 

11 years ago

Michuzi

MWENGE WA UHURU WAWASILI VISIWANI ZANZIBAR LEO KUTOKEA DAR,WAKABIDHIWA KWA MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck Sadiki akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi Khamis, makabidhiano hayo yamefanyika uwanja wa ndege mkongwe Kiembesamaki leo. Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Bi. Getrudi Mpaka akitoa salam za Mkoa huo wakati wa kuukabizi Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Mjini Magharibi leo july 30.Vijana wa Chipkizi wakiimba nyimbo ya Mwenge. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Ikulu na Utawala Bora Dkt. Mwinyihaji Makame akishika mwenge wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenge wa Uhuru wawasili Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro

 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe akiwa ameshika mwenge wa Uhuru baada ya kupokea kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Said Magalula Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe (kushoto) akiwa amekumbatiana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Said Magalula baada ya kukabidhiwa Mwenge wa Uhuru. Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa Bw. Juma Khatibu  Chum akifungua kitambaa kama ishara ya kuzindua zoezi la uandikishaji wapiga kura Wilayani Mvomero lililofanyika  katika Kijiji cha Salawe...

 

11 years ago

GPL

WASHINDI WA TMT KUTOKA KANDA YA ZIWA NA NYANDA ZA JUU KUSINI WAWASILI DAR ES SALAAM TAYARI KWA SAFARI YA KUSHINDANIA MILIONI 50‏


 Washindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kutoka Kanda ya Ziwa wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwl Nyerere, Jijini Dar Es Salaam jana kwaajili ya Kuingia kambini tayari kwa safari ya kushindania Milioni 50 katika fainali itakayofanyika Mwishoni mwa Mwezi wa Nane

 Washindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kanda ya Nyanda za Kusini, Stephen Mapunda(mwenye kofia nyekundu) na Mtawa...

 

11 years ago

GPL

NHIF YATETA NA WADAU WAKE WA MKOA WA DAR ES SALAAM‏

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya Bw. Khamis Mdee akizungumza na kuelezea mikakati ya mfuko huo kwa wadau waliohudhuria katika mkutano huo leo. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Bima ya Taifa Afya ya Jamii NHIF Balozi Ally Mchumo akimkaribisha mgeni rasmi ili kuzungumza na wadau wa mfuko huo.…

 

10 years ago

Vijimambo

DK. SHEIN AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOA WA RUVUMA APRIL 29, 2015

1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akihotubia leo mjini Songea wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa uhuru zilizofanyika kitaifa mkoani Ruvuma.unnamedRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasha Mwenge wa uhuru leo mjini Songea katika Uwanja wa Majimaji ikiwa ni sehemu ya sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2015. 3Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu(kushoto) akimkabidhi Mkuu wa...

 

9 years ago

GPL

MAWAKALA WA AIRTEL MONEY MKOA WA DAR ES SALAAM WAPATA MAFUNZO‏

Meneja Mafunzo ya Biashara wa Airtel Tanzania, Ayubu Kalufya akitoa elimu kuhusu huduma mpya ya ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, wakati wa mafunzo kwa mawakala wa Airtel Money wa mkoa wa Dar es Salaam jana. Meneja Mauzo wa Airtel Tanzania Kanda ya Ilala, James Moilo akitoa elimu kuhusu huduma mpya ya ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, wakati wa mafunzo kwa mawakala wa Airtel Money wa mkoa wa Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani