Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwenyekiti atisha waandishi

WAANDISHI wa habari wa mjini Dodoma, wamenusurika kushambuliwa kwa kipigo na Mwenyekiti wa Kijiji cha Kongogo, Daud Husein baada ya waandishi hao kubaini maonevu na ubabe anaowatendea wananchi. Mwenyekiti huyo,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mwenyekiti ACT-Wazalendo awakumbusha kazi waandishi

ALIYEKUWA mgombea wa Urais kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Anna Mghwira amewataka waandishi wa habari mkoani hapa, kutumia taaluma yao kuwaelimisha wazazi au walezi wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari juu ya athari za utoro shuleni.

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI KWA WAANDISHI WA HABARI LEO

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akizunguza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya tume ya uchaguzi jijini Dar es salaam wakati alipozungumzia maandalizi ya uboreshaji wa daftari la wapiga kura, kura ya maoni ya Katiba mpya na uchaguzi mkuu mwezi oktoba mwaka huu, kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Bw. Julius Mh.Julius Mallaba.Baadhi ya waadishi wa habari wakiwa katika kutano huo.
Ndugu Waandishi wa Habari, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Watendaji wa Tume, Mabibi...

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA KAMATI NAMBA 1 YA BUNGE LA KATIBA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati Nambari 1 ya Bunge Maalum la katiba, Ummy Mwalimu (kulia) akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kuongoza kikao cha Kamati hiyo kwenye Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma  leo Aprili 2, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA VUGUVUGU ZA KUMPINGA RAIS WA BURUNDI AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI USIKU HUU SERENA HOTEL JIJINI DAR

Mwenyekiti wa vuguvugu za Maandamano Burundi kwa Mara ya kwanza amefika Nchini Tanzania ili kuweza kushuhudia Mkutano wa Dharula kati ya viongozi watano kuhusu nchi ya Burundi ambayo sasa imeingia katika machafuko baada ya Rais aliyeopo Madarakani kutaka kuongeza muda wake.
Akiongea na Waandishi wa Habari usiku huu Mkuu huyo wa vuguvugu wa Burundi amesema kuwa wananchi hawaridhiki na Rais wao kuendelea kuwa madarakani ambapo hata sheria hairuhusu na pia sasa ni wiki ya tatu ambapo wananchi...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT:MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA IRINGA AWEKWA CHINI YA ULINZI KWA KUDAIWA KUPIGA PICHA MAHAKAMANI.

Polisi  wamemakamata  mwenyekiti wa chama cha  waandishi wa habari  mkoa  wa Iringa (IPC) Frank Leonard (kushoto)  wakimtuhumu kupiga  picha mahakamani. Hadi  sasa amewekwa  chini ya ulinzi wa polisi huku kesi ya mtuhumiwa wa mauwaji ya Mwangosi ikiendelea kusomwa.  
Picha na Francis Godwin-Iringa.

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA ATISHA MWANZA WENGI WAZIMIA

 Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwaaga wananchi wa Jiji la Mwanza, mara baada ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015. Watu wa huduma ya kwanza wa kikosi cha Msalaba Mwekundu, wakiwasaidia wananchi mbali mbali waliopoteza fahamu kutokana na kukosa hewa, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi...

 

11 years ago

GPL

MWANASHERIA ATISHA KWA ‘UMODO’ E. A

Stori: Musa Mateja
Mwanadada Corazon Kwamboka ambaye kitaaluma ni mwanasheria, raia wa Kenya anaonekana kutingisha katika soko la umodo Afrika Mashariki huku baadhi ya warembo wenzake wakimpigia saluti. Mwanamitindo Corazon Kwamboka. Mtandao mmoja wa mambo ya mitindo wa Kenya umeandika kuwa, siku chache baada ya Corazon kupiga picha zake za mapozi na kuziingiza mtandaoni, wengi wameonesha kumkubali huku kampuni kibao za...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU

 Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani), ndani ya Idara ya Habari MAELEZO,mapema leo jijini Dar kuhusiana na matokeo ya harambee ya Media Car Wash for Cancer Campaign, inayoendelea nchini.  Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani