Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwenyekiti, katibu ARFA waachiwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewaachilia huru viongozi wawili wa Chama cha Soka Mkoa wa Arusha (ARFA), mwenyekiti Khalifa Mgonja na katibu wake, Adam Brown, sambamba na aliyekuwa mwenyekiti wa AFC, Brown Francis kutokana na tuhuma za makosa ya wizi na ubadhirifu wa Sh39 milioni baada ya kukosekana ushahidi wa kuwatia hatiani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Katibu CCK amruka mwenyekiti wake

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Kijamii (CCK), Kassimu Mtalam, amemtaka Mwenyekiti wa chama hicho, Constantine Akitanda, kuacha kutoa matamshi ya upotoshaji kuhusu Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kwani hajatumwa...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MANYARA YAWASHIKILIA MWENYEKITI NA KATIBU WA CCM BABATI


Na Mwandishi wetu, Babati 
TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) Mkoani Manyara inamshikilia Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Maisaka kati Bakari Khatibu na katibu wa Tawi hilo Juma Swalehe wote wakazi wa wilaya ya Babati kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya sh. 200,000 kutoka kwa Mwinjilist wa kanisa la kinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) mtaa wa Komoto.
Mkuu wa Takukuru Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu aliyasema hayo mjini Babati wakati...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti UVCCM kizimbani kwa kumtwanga makonde katibu wake

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza, Mansoor Mohamed (25) amefikishwa Mahakama ya Wilaya kwa tuhuma za shambulio la kudhuru mwili.

 

11 years ago

Michuzi

SHINA LA CCM MARYLAND LAFUNGULIWA, MRISHO MZESE MWENYEKITI, MARCO MBULLU KATIBU


Mwenyekiti wa shina la CCM Maryland, Mrisho Mzese (tatu toka kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti CCM DMV George Sebo (pili toka kushoto) kwenye ufunguzi wa shina hilo uliofanywa na mwenyekiti huyo wa tawi CCM DMV siku ya Jumapili March 9, 2014 Germantown, Maryland. Picha na Vijimambo Blog  Mwenyekiti wa shina CCM Maryland, Mrisho Mzese akiongea na kumkaribisha mwenyekiti wa CCM DMV George Sebo huku Mama Kimolo akifuatilia kwa makini. Mwenyekiti CCM DMV George Sebo akitoa shukurani zake kwa...

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI NA KATIBU WAKE CHADEMA MJINI KIOMBOI WILAYANI IRAMBA WAACHIA NGAZI.

Pichani Kati ni Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Shati,Wilayani Iramba,Bwa Ezekiel Makala  akionesha kadi yake na kutangaza kujiunga na chama cha CCM,kwenye mkutano wa hadahara uliofanyika kwenye stendi ya mabasi ya Kiomboi,wilayani Iramba mkoani Singida,shoto ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana na kulia ni Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba wakishuhudia kwa pamoaja.
Kinana ameambatana na Katibu wa NEC Itikad,siasa na Uenezi Nape...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU BARAZA LA VIJANA TAIFA CHADEMA AKABIDHI KADI KWA MWENYEKITI WA KIJIJI

Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana Taifa la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Julius Mwita (kushoto), akimkabidhi kadi ya chama hicho, Mwenyekiti wa Kijiji cha Udomo Kata ya Uchama Jimbo na Wilaya ya Bukene mkoani Tabora, Julius Lubala, baada ya kurudisha kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chadema katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo.

 

11 years ago

GPL

SHINA LA CCM MARYLAND LAFUNGULIWA, MRISHO MZESE MWENYEKITI, MARCO MBULLU KATIBU‏

Mwenyekiti wa shina la CCM Maryland, Mrisho Mzese (tatu toka kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti CCM DMV George Sebo (pili toka kushoto) kwenye ufunguzi wa shina hilo uliofanywa na mwenyekiti huyo wa tawi CCM DMV siku ya Jumapili March 9, 2014 Germantown, Maryland. Picha na Vijimambo Blog
Mwenyekiti wa shina CCM Maryland, Mrisho Mzese akiongea na kumkaribisha mwenyekiti wa CCM DMV George Sebo huku Mama Kimolo akifuatilia...

 

10 years ago

Vijimambo

Katibu wa CUF Maalim Seif Akanusha kuhama kwa Mwenyekiti wake Mhe Pro. Ibrahim Lipumba.

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia kwenye mkutano Mkuu wa Chadema uliofanyika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amekanusha taarifa za kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Ibrahim Haruna Lipumba.

Amesema akiwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, hajapokea taarifa zozote za kujiuzulu kwa Prof. Lipumba, na kwamba hadi saa nne za usiku wa jana Jumatatu ya tarehe 03/08/2015, alikuwa na...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU DK.AKWILAPO AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MWENYEKITI BARAZA LA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM(DIT)

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo ameongoza mazishi ya aliyekua Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Profesa Apollinaria Elikana Pereka aliyefariki Mei 3, 2020 mkoani Morogoro.

 Kabla ya kufikwa na umauti kumkuta Aprili 14, 2020 alipata kiharusi ambapo alilazwa katika Hospitali ya Chuo Kikuu Cha Kilimo (SUA), Morogoro.

Marehemu Profesa Pereka amezikwa leo Mei 7 mwaka 2020 katika kijijini cha Mwangika Kahunda, Sengerema -...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani