Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWENYEKITI WA RED CROSS MKOA ARUSHA AKABIDHI MSAADA KWA WALEMAVU


Na Cynthia Mwilolezi, Arusha


CHAMA cha Msalaba Mwekundu (Red Cross), Mkoa wa Arusha, kimetoa msaada wa vyakula, viatu, Blanketi na nguo, kwa wazee nane na watu wenye ulemavu wa aina mbalimbali 22, ikiwa ni maadhimisho ya chama hicho Duniani, ambapo kilele chake Mei 8 kila mwaka.
Akizungumza leo Jijini Arusha, wakati akikabidhi misaada hiyo, Mwenyekiti wa Chama cha Msalaba mwekundu Mkoa wa Arusha, Christopher Nzera, amesema kuwa misaada hiyo ni moja ya shughuli zao wanazofanya za kusaidia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RED CROSS YATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO MTO WA MBU-ARUSHA

 Kulia ni Muwakishi wa rais Redcross Taifa Ndg Japhet Shirima akikabidhi msaada kwa mzee Asanterabi Shoo ambae ni miongoni mwa waathirika wa mafuriko eneo la mto wa mbu wilayani Monduli kufuatia Mvua zinazo endelea kunyesha katika baadhi ya maeneo nchini.Timu ya chama cha msalaba mwekundu wakiwa katika Kata ya Mto wa Mbu mkoani Arusha.Dora Mushi-Mwenyekiti wa Chama cha Msalaba mwekundu mkoani  Arusha akizungumza na baadhi ya wananchi wa Mto wa mbu waliopatwa na madhila ya mafuriko.
Na,Vero...

 

10 years ago

Michuzi

RED CROSS YAKABIDHI MSAADA KWA WAHANGA WA MAFURIKO ZANZIBAR

Chama cha Msalaba mwekundu Tanzania { red Cross } kimekabidhi msaada wa viatu Pair 90 kwa ajili  ya watoto wa familia zilizowekwa Kambini  katika Skuli ya Sekondari ya Mwanakwerekwe “C” baada ya Nyumba zao kujaa maji ya mvua.
Msaada huo umefuatia Mvua za Masika zilizotokea usiku wa kuamkia Tarehe 3 Mei mwaka huu na kuleta maafa makubwa yaliyosababisha zaidi ya  Nyumba 700 kuathirika  ndani ya Mkoa wa Mjini Magharibi na kuzikosesha makaazi Familia zilizokuwa zikiishi katika nyumba hizo.
Ujumbe ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tigo yakabidhi msaada kwa Shirika la Red Cross Tanzania kwa ajili ya waathirika wa mafuriko Dumila na Dar es Salaam

1

Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii kutoka Tigo Bi. Woinde Shisael (kulia) akimkambidhi mfano wa hundi cha kiasi cha Tsh 20,700,000 Kaimu Katibu Mkuu wa Shirika la Red Cross nchini Bi. Bertha Mlay mapema leo katika hafla fupi ya makabidhiano yaliyofanyika makao makuu ya Red Cross, jijini Dar es Salaam. Kiasi hicho kinalenga kuwapatia waathirika wa mafuriko wa Dumila – Morogoro na Dar es Salaam huduma za malazi, maji, chakula, mablanketi, neti za kuzuia mbu na magodoro.

2

 Kaimu Katibu Mkuu wa...

 

11 years ago

GPL

TIGO YAKABIDHI MSAADA KWA SHIRIKA LA RED CROSS TANZANIA KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO DUMILA NA DAR ES SALAAM‏

Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii kutoka Tigo Bi. Woinde Shisael (kulia) akimkambidhi mfano wa hundi cha kiasi cha Tsh 20,700,000 Kaimu Katibu Mkuu wa Shirika la Red Cross nchini Bi. Bertha Mlay mapema leo katika hafla fupi ya makabidhiano yaliyofanyika makao makuu ya Red Cross, jijini Dar es Salaam. Kiasi hicho kinalenga kuwapatia waathirika wa mafuriko wa Dumila - Morogoro na Dar es Salaam huduma za malazi, maji, chakula,...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA PAMOJA IKISHIRIKIANA NA RED CROSS UNGUJA WATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUPAMBANA NA CORONA (COVID-1).

Taasisi ya pamoja iliyopo Mbweni inayojishughulisha na masuala ya Ufundi wa Vyombo vya Moto na Ushoni Zanzibar kwa kushirikiana na Chama cha Msalaba Mwekundu Kanda ya Unguja vimetoa msaada wa Vifaa mbali mbali vya kupambana na Virusi vya Corona hapa Nchini.Vifaa hivyo ni pamoja na Mifereji Hamsini iliyotengenezwa Kitaalamu kulingana na mazingira halisi ya kujiepusha na Virusi vya Corona, ndoo 65, Sabuni pamoja na Vitakasa Mikono.Akikabidhi Vifaa hivyo kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA MKOA WA RUKWA AKABIDHI MSAADA WA BOTI

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akiwakabidhi funguo ya boti na "Life Jacket 8" kwa Uongozi wa kijiji cha Ilanga/Muze ikiwa ni sehemu ya msaada wa boti na Injini moja kusaidia huduma za afya ya mama wajawazito na wagonjwa mwambao wa Ziwa Rukwa. …

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MWENYEKITI WA CCM MKOA ARUSHA NA KATIBU MWENEZI WA MKOA WAJIUZULU NA KUHAMIA CHADEMA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Mh. Onesmo Nangole na Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha wamejiuzulu nafasi zao zote na kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.Katibu mwenezi amemtahadharisha katibu mkuu wa CCM, ache kuwaita Watanzania makapi.

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete akabidhi msaada wa pikipiki Arusha

RAIS Jakaya Kikwete amekabidhi msaada wa pikipiki 10 kwa chama cha Akiba na Mikopo cha Waendesha Pikipiki katika Jiji la Arusha (UWAPA SACCOS), zenye thamani ya Sh milioni 15.9.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani