Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwigulu awapa raha wafanyabiashara Tanga

Ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba imewafurahisha wafanyabiashara katika gulio la Tangamano baada ya kutangaziwa rasmi kwamba hawatahamishwa katika eneo hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mwigulu awapa somo wafanyabiashara

01

Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akifungua semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) leo jijini Dar es salaam.

Na Mwandishi wetu

Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba, amewataka wafanyabiasha nchini, kutengeneza miradi ambayo inatambulika ili iwe rahisi kukopeshwa fedha.

 Aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati wa kufungua semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo  Mashariki na...

 

10 years ago

Mwananchi

Tambwe awapa raha Yanga

 Mshambuliaji Amissi Tambwe aliwapa raha mashabiki wa Yanga baada ya jana kuifungia timu yake mabao mawili dhidi ya BDF XI ya Botswana iliyokuwa ikishangiliwa muda wote na mashabiki wa Simba kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

COUTINHO AWAPA RAHA YANGA, KOMBE LA MAPINDUZI

Andrey Coutinho akishangilia na wenzake baada ya kufunga dakika ya 86 kipindi cha pili. BAO pekee la Mbrazil, Andrey Coutinho limeipa Yanga  ushindi wa 1-0 dhidi ya Shaba katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Coutinho alifunga bao hilo dakika ya 86 kwa shuti kali akimaliziana krosi ya beki wa kulia, Juma Abdul.
Yanga SC inamaliza kwa ushindi wa asilimia 100,...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda awapa changamoto wafanyabiashara

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewataka Watanzania wenye uwezo kifedha waangalie uwezekano wa kuanzisha viwanda nchini badala ya kuendelea kuwa wachuuzi wa kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na kuziuza.

 

10 years ago

Mwananchi

USHIRIKIANO: Balozi Taj awapa somo wafanyabiashara

>Wafanyabiashara wa Tanzania wamehamasishwa kushiriki katika maonyesho mbalimbali yanayoratibiwa na wenzao wa Ufaransa ili kujifunza na kuongeza tija katika uhusiano uliopo wa nchi hizi mbili.

 

9 years ago

Bongo5

Breaking: Magufuli awapa siku 7 wafanyabiashara wakwepa kodi kujisalimisha

jpm2

Mkutano wa leo kati ya Rais Dkt John Magufuli na wafanyabiashara nchini kwenye ikulu ya Dar es Salaam haukuwa wa kunywa chai na cocktail bali wenye maelekezo muhimu na mazito.

jpm2
Dkt John Magufuli akiongea na wafanyabiashara kwenye mkutano uliofanyika Alhamis hii ikulu jijini Dar es Salaam (Picha: Michuzi)

Katika mkutano huo, Magufuli ametoa siku saba, kuanzia leo kwa wafanyabiashara wote walioingiza bidhaa nchini bila kulipa ushuru wakajisalimishe na kulipa.

Mkutano huo umehudhuriwa na...

 

9 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara Tanga, TRA waelewana

Jumuiya ya Wafanyabiashara (JWT), Mkoa wa Tanga imesema imemaliza mgogoro baina yake na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), na kuahidi kuwa watalipa kodi bila kusukumwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara Tanga waivimbia TRA

Wafanyabiashara wenye maduka Mjini Tanga, wameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuzigawa bure mashine za kutolea risiti

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani