Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWILI WA KOMBA UKIWASILI KARIMJEE LEO

Mwili wa marehemu John Komba ukiingia Karimjee ili kuagwa na wananchi na viongozi mbalimbali.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

JK aongoza mamia kuaga mwili wa Capt. John Komba Karimjee leo

DSC_0003

Kada wa CCM Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa wakati shughuli za kutoa heshima za mwisho msiba wa Captain John Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.

DSC_0021

Rais mtsaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin William Mkapa akisalimiana na Mzee Kingunge alipowasili kwenye viwanja hivyo.

DSC_0026

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mtungi (kulia) akiteta jambo na Mwenyekiti Mtendaji wa makapuni ya IPP, Dkt....

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAREHEMU KAPTEN KOMBA VIWANJA VYA KARIMJEE DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakeze Mama Zakhia Bilal na Mama Asha Bilal, wakitoa heshima zao za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Kapteni John Komba, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Machi 2, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Baada ya shughuli hiyo mwili wa marehemu umesafirishwa kuelekea Kijiji cha Litui Wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma kwa maziko.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

 

10 years ago

Michuzi

RATIBA YA KUAGA RASMI MWILI WA MAREHEMU CAPT. JOHN DAMIANO KOMBA, (MB.) KESHO JUMATATU TAREHE 2 MACHI, 2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA UTARATIBU WA SAFARI



NA.

MUDA

TUKIO

MHUSIKA


1.

12:00 - 01:00


Familia na Waombolezaji kupata chai nyumbani


Kaimu Katibu wa Bunge

2.

01:00 - 04:00

Misa ya kuaga mwili wa Marehemu


Kanisa Katoliki,

Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa


3.

04:00 - 04:30

·         Ndugu, Jamaa na Wananchi kuwasili katika Viwanja vya Karimjee


·         Viongozi wa Vyama vya Siasa, Waheshimiwa Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi katika nafasi zao


Katibu wa Bunge


4.

04:33

Kiongozi ...

 

10 years ago

CloudsFM

marehemu Kapt.John Komba kuagwa leo katika viwanja vya karimjee ,Dar kuzikwa kwao kesho Nyasa

http://www.google.co.tz/imgres?imgurl=http://4.bp.blogspot.com/-TXxYlldF76U/UYzCQwXjabI/AAAAAAAAACo/I99o7Tt2ccU/s1600/KOMBA.jpg&imgrefurl=http://kwelinahaki.blogspot.com/2013_05_01_archive.html&h=1200&w=1600&tbnid=66ArF3GxkVAhVM:&zoom=1&docid=07QytNiYiUSx3M&itg=1&hl=en-US&ei=iRz0VKTqNYrlaLSNggg&tbm=isch&ved=0CCAQMygFMAU Mwili Wa Kapr.John Komba utaagwa katika viwanja vya Karimjee jijini Dar Leo tar.2 March baada ya hapo utasafirishwa hadi mjini Songea ambapo wanachi wa mji watapata fursa ya...

 

11 years ago

GPL

VILIO VYATAWALA MWILI WA MTOTO NASRA UKIWASILI MKOANI MORO

Waombolezaji wakiangua kilio baada ya mwili wa marehemu Nasra Rashid (4) kuwasili mkoani Morogoro. Mwili wa mtoto Nasra Rashid ukiwasili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.…

 

9 years ago

Michuzi

MAMIA WAAGA MWILI WA DK.EMMANUEL MAKAIDI VIWANJA VYA KARIMJEE DAR ES SALAAM LEO

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupitia mwamvuli wa Ukawa, Mhe Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa umoja huo, Dk. Emmanuel Makaidi wakati wa ibada ya kuuaga iliyofanyika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam leo mchana. Katika ibada hiyo viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa na serikali walihudhuria.Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye ibada hiyo.Wananchi wakiwa wamejipanga foleni wakati wakienda kutoa...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AONGOZA MAMIA KUUAGA MWILI WA DK.EMMANUEL MAKAIDI VIWANJA VYA KARIMJEE DAR ES SALAAM LEO

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa umoja huo, Dk. Emmanuel Makaidi wakati wa ibada ya kuuaga iliyofanyika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam leo mchana. Katika ibada hiyo viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa na serikali walihudhuria.Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye ibada hiyo.
Wananchi wakiwa wamejipanga foleni wakati wakienda kutoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani