Mwili wa RC Mara kuagwa leo
MWILI wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa unaagwa leo katika ibada itakayofanyika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma. Taarifa ya Kamati ya Uratibu ya Msiba ya Mkoa wa Dodoma, ilisema baada ya ibada hiyo wananchi watapata nafasi ya kumuaga.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Mwili wa Saria kuagwa leo
MWILI wa aliyekuwa mwanariadha, kocha na kiongozi wa zamani wa Riadha Tanzania (RT), Ernest Saria aliyefariki usiku wa kuamkia Jumanne, unatarajiwa kuagwa leo saa 3 asubuhi katika kituo cha Polisi,...
11 years ago
Habarileo22 Apr
DC Chang’a afariki, mwili kuagwa leo
MKUU wa Wilaya ya Kalambo, Moshi Chang’a amefariki dunia na mwili wake utaagwa leo jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Mwili wa Dk Shija kuagwa leo Dar
9 years ago
Mwananchi28 Sep
Mwili wa Kombani kuagwa Dar leo
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Hatima ya mwili wa Mawazo kuagwa ama kutoagwa Jijini Mwanza kujulikana leo
Na:George Binagi-GB Pazzo wa Binagi Media Group
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza leo imeahirisha kesi ya madai ya kuomba ridhaa ya kufanya ibada ya Mazishi ya aliekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoani Geita Marehemu Alphonce Mawazo iliyowasilishwa na Mchungaji Charles Lugiko ambae ni baba mlezi wa marehemu Mawazo
Katika kesi hiyo, mlalamikaji anaiomba mahakama kuondoa zuio la jeshi la polisi Mkoani Mwanza la kutoruhusu shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu Mawazo...
9 years ago
StarTV28 Nov
 Kifo Cha Alphonce Mawazo Mwili wake kuagwa leo Furahisha Mwanza
Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoani Geita Alphonce Mawazo unatarajiwa kuagwa leo katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza na baadae kusafirishwa kupelekwa mkoani Geita kwa maandalizi ya mazishi.
Mwili huo ulitakiwa kuagwa jumamosi iliyopita zoezi ambalo lilikwama baada ya zuio la jeshi la polisi mkoani Mwanza kabla ya mahakama kuu kutengua pingamizi hilo mapema jana.
Viongozi wa CHADEMA wamekutana na wanahabari jijini Mwanza kuwaeleza...
10 years ago
Michuzi21 Nov
MWILI WA MPIGANAJI MWENZETU INNOCENT MUNYUKU KUAGWA LEO HOSPITALI YA LUGALO JIJINI DAR
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-mjCUb-qEQpI/VW2inlnF2OI/AAAAAAAHbOk/Sj-gH18sfCc/s72-c/20150602051217.jpg)
MWILI WA MAREHEMU EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA KUAGWA LEO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-mjCUb-qEQpI/VW2inlnF2OI/AAAAAAAHbOk/Sj-gH18sfCc/s640/20150602051217.jpg)
Marehemu EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA
TANZIA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mhe. EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 June 2015 nyumbani kwake Dodoma ambako amekuwepo kushiriki Mkutano wa Bunge la Bajeti.
Mwili wa Marehemu unaagwa leo tarehe 3 Juni 2015 kuanzia saa 4 asubuhi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, na baadaye mwili kupelekwa nyumbani kwake Ukonga, Dar es...
5 years ago
Michuzi01 May
PICHA MBALIMBALI ZA KUAGWA KWA MWILI WA MAREHEMU JAJI RAMADAHANI LEO KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/FC4A8307AA-1024x682.jpg)
Mke wa aliyekuwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Marehemu Augustino Ramadhani, Saada Ramadhani (katikati) ambaye ni Luteni Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mumewe leo kwenye viwanja vya Karimjee vilivyoko Jijini Dar es Salaam wakati wa Mazishi ya Kitaifa.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/FC4A8341AA-1024x682.jpg)