Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwili wa Kombani kuagwa Dar leo

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani utaagwa leo jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa Morogoro kwa maziko.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

CELINA KOMBANI KUAGWA LEO DAR

Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge wa Ulanga Mashariki (CCM), Bi. Celina Kombani. Mwili wa Marehemu Kombani ulivyoshushwa Uwanja wa Ndege wa Mwl. Nyerere kutoka India, juzi. Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge wa Ulanga Mashariki (CCM), Bi. Celina Kombani utaagwa rasmi leo Jumatatu, kuanzia majira ya saa nne asubuhi katika Viwanja...

 

9 years ago

Habarileo

Mwili wa Kombani kuwasili Dar leo

MWILI wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, unatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam leo saa 9 alasiri kutoka nchini India, alikofariki wakati akipatiwa matibabu ya saratani.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwili wa Dk Shija kuagwa leo Dar

Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) Dk William Shija unatarajiwa kuagwa leo katika viwanja vya Karimjee jijini hapa.

 

9 years ago

Vijimambo

MWILI WA MAREHEMU CELINA O. KOMBANI WAWASILI DAR ES SALAAM LEO JIONI

 Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani  ukitelemshwa baada ya kuwasili jioni hii Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mh. Celina Kombani umewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa serikali . Tutaendelea kuwafahamisha ratiba kila tutapopata...

 

9 years ago

Habarileo

Kombani kuagwa Karimjee leo

MWILI wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Celina Kombani, utaagwa leo katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwenda nyumbani kwake mkoani Morogoro kwa ajili ya maziko yatakayofanyika kesho shambani kwake.

 

10 years ago

Michuzi

MWILI WA MPIGANAJI MWENZETU INNOCENT MUNYUKU KUAGWA LEO HOSPITALI YA LUGALO JIJINI DAR

Habari wadau, naomba kuwajulisha kuwa mwili wa mwandishi wa zamani wa michezo, Innocent Munyuku aliyefariki dunia juzi, unaagwa leo Ijumaa kuanzia saa tano asubuhi hospitali ya Jeshi Lugalo, Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwenda Morogoro kwa mazishi.Pia mwili wa mwanachama wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Baraka Karashani, aliyefariki juzi utazikwa kesho Jumamosi makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam badala ya leo makaburi Sinza kama ilivyokuwa imetangazwa...

 

5 years ago

Michuzi

PICHA MBALIMBALI ZA KUAGWA KWA MWILI WA MAREHEMU JAJI RAMADAHANI LEO KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR



Mke wa aliyekuwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Marehemu  Augustino Ramadhani,  Saada Ramadhani (katikati)  ambaye  ni Luteni Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi  wa Tanzania (JWTZ) akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mumewe leo kwenye viwanja vya Karimjee vilivyoko Jijini Dar es Salaam wakati wa   Mazishi ya Kitaifa.Watoto wa  aliyekuwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Marehemu  Augustino Ramadhani na ndugu wakimsaidia Mke wa marehemu, Saada Ramadhani...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mazishi ya Dk.Emmanuel Makaidi kufanyika makaburi ya Sinza, mwili wake kuagwa leo asubuhi Viwanja vya Karimjee jijini Dar

Mjane wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Dk. Emmanuel Makaidi, Modesta Ponela Makaidi akiwa katika huzuni baada ya kuondokewa na mpendwa wake.

Mtoto wa kwanza wa Dk. Makaidi, Hilda Emmanuel Makaidi akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).

Mtoto wa marehemu Mhandisi Emmanueli Makaidi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ratiba ya mazishi ya baba yake.

Ndugu, jamaa, marafiki na waombolezaji wakiwa msibani nyumbani kwa Dk.Makaidi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwili wa Saria kuagwa leo

MWILI wa aliyekuwa mwanariadha, kocha na kiongozi wa zamani wa Riadha Tanzania (RT), Ernest Saria aliyefariki usiku wa kuamkia Jumanne, unatarajiwa kuagwa leo saa 3 asubuhi katika kituo cha Polisi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani