Mwinyi: Haikuwa kazi rahisi Dodoma
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi amesema kuwa shughuli ya kupata mgombea urais kwa tiketi ya CCM haikuwa rahisi na akashukuru kwamba imemalizika kwa amani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Mar
‘Kutunga Kanuni haikuwa rahisi’
10 years ago
Bongo508 May
Wakazi aeleza kwanini haikuwa rahisi kufanya collabo na kina Wiz Khalifa, Kanye West na Diddy alipokutana nao
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Vanessa: Haikuwa kazi nyepesi kuwa kama Siwema
MSANII anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya filamu nchini, Mary Joseph ‘Vanessa’, amesema haikuwa kazi nyepesi kuuvaa uhusika wa Siwema aliyeimbwa kwenye wimbo wa ‘Siwema’ wa mwimbaji wa nyimbo za...
10 years ago
Bongo Movies20 Feb
Wastara:Hakuna Kazi Rahisi Duniani
MWIGIZAJI I wa filamu nchini, Wastara Juma, amesema wale wote wanaofikiri sanaa ya kuigiza ni kazi rahisi, wamekuwa wakijidanganya.
Akizungumzia kuhusu ugumu wa kazi yake ya kuigiza, Wastara alisema katika dunia hakuna kazi nyepesi kwa sababu kila utakachokifanya kitahitaji matumizi ya akili na kufikiri.
“Kwa haraka haraka unaweza kusema kazi ya kuigiza ni nyepesi, lakini si kweli, lazima kila mmoja afahamu duniani kila kazi ina ugumu wake,” alisema Wastara.
Wastara alisema ugumu ambao...
10 years ago
Mtanzania20 Feb
Wastara: Hakuna kazi rahisi duniani
NA SHARIFA MMASI, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI I wa filamu nchini, Wastara Juma, amesema wale wote wanaofikiri sanaa ya kuigiza ni kazi rahisi, wamekuwa wakijidanganya.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Wastara alisema katika dunia hakuna kazi nyepesi kwa sababu kila utakachokifanya kitahitaji matumizi ya akili na kufikiri.
“Kwa haraka haraka unaweza kusema kazi ya kuigiza ni nyepesi, lakini si kweli, lazima kila mmoja afahamu duniani kila kazi ina ugumu wake,” alisema Wastara.
Wastara alisema ugumu...
10 years ago
Habarileo19 Jul
Mwinyi avunja ukimya kilichotokea Dodoma
RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amevunja ukimya kuhusu namna mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM, ulivyokuwa mkoani Dodoma mpaka akapatikana Dk John Magufuli.
10 years ago
MichuziBODI YA BARABARA MKOA WA DODOMA YAZITAKA HALMASHAURI ZA WILAYA DODOMA KUCHAGUA WAKANDARASI WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI WANAPOTOA KANDARASI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
9 years ago
Mtanzania31 Dec
Watumishi wasimamishwa kazi Dodoma
Ramadhan Hassan, Dodoma
SERIKALI imewasimamisha kazi maofisa biashara wawili wa Mkoa wa Dodoma kutokana na kuchelewesha utoaji wa leseni za biashara.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka ofisi ya Rais (TAMISEMI), Rebbeca Kwandu, aliwataja waliosimamishwa kazi kuwa ni Elias Kamara na Donatila Vedasto.
“Agizo hili limetolewa na Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene baada ya...