Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwinyi kuzindua taasisi ya utamaduni

RAIS mastaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, anatarajia kuzindua taasisi ya Jukwaa la Utamaduni lenye lengo la kusaidia serikali kuhusu amani nchini. Akizungumza na waandinshi wa habari jijini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mwinyi kuzindua Dar Rotary Marathon

RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi atakuwa mgeni rasmi katika mbio za Dar Rotary zitakazofanyika Oktoba 14, imeelezwa. Kwa mara nyingine Rotary Clubs ya Dar es Salaam na Bank M kwa pamoja zimeandaa mbio hizo za marathoni kwa ajili ya kuchangisha fedha.

 

11 years ago

GPL

WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO KUZINDUA TAMASHA LA VIPAJI‏

Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya ukuzaji vipaji vya sanaa na muziki (Unscripted Concert for Africa-Tanzania, UCA-Tz), Emmanuel Mushy (katikati) akizungumza na waandishi wa habari juu ya tamasha la UCA-Tz litakalofanyika kesho jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kutoka kushoto ni Mwakilishi kutoka kampuni ya Zantel, Divine Mosi na Fadhil Nandonde kutoka UCA-Tz, kulia ni mwakilishi wa vijana kutoka nchini Uganda, Ms. Faridah Nalunkuma. ...

 

10 years ago

Michuzi

Wabunge Afrika Mashariki watembelea Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSuBa)

 Spika wa Bunge la Jumuiya ya AfrikaMashariki (EALA) Mhe. Margareth Zziwa (Kulia) akikabidhi kitabu cha mpango mkakati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe Ahmed Chipozi jana wilayani Bagamoyo wakati wa ziara ya Wabunge wa Afrika Mashariki katika taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSuBa). Anayeshuhudia katikati ni Waziriwa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB).

 Spika wa Bunge la Jumuiya ya AfrikaMashariki (EALA) Mhe. Margareth Zziwa...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Bilal kuzindua majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria Tanzania Jumatatu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa majengo ya kudumu ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (The Law School of Tanzania) itakayofanyika Jumatatu, tarehe 22 Disemba, 2014 jijini Dar es Salaam.
Hafla hiyo itafanyika kuanzia saa 3:00 asubuhi – saa 6:00 mchana katika eneo lililopo nyuma ya Jengo la Mawasiliano (Mawasiliano Towers), barabara ya Sam Nujoma, jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Bilal kuzindua majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria Tanzania kesho Jumatatu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa majengo ya kudumu ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (The Law School of Tanzania) itakayofanyika kesho Jumatatu, tarehe 22 Disemba, 2014 jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa toka Wizara ya Sheria na Katiba, hafla hiyo itafanyika kuanzia saa 3:00 asubuhi – saa 6:00 mchana katika eneo lililopo nyuma ya Jengo la Mawasiliano...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal kuzindua majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Jumatatu

DrMohamedGharibBilal1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal (pichani) anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa majengo ya kudumu ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (The Law School of Tanzania) itakayofanyika Jumatatu, tarehe 22 Disemba, 2014 jijini Dar es Salaam.

Hafla hiyo itafanyika kuanzia saa 3:00 asubuhi – saa 6:00 mchana katika eneo lililopo nyuma ya Jengo la Mawasiliano (Mawasiliano Towers), barabara ya Sam Nujoma, jijini...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AIFAGILIA TAASISI YA AGA KHAN KWA KUSAIDIA MAENDELEO YA JAMII

Mzee Mwinyi akiwa ameketi meza kuu na viongozi wa Tasisi hiyo ya Aga Khan Sheikh Mkuu, Muft wa Tanzania akiingia ukumbini Makamu wa Rais wa Taasisi ya Aga Khan Tanzania, Kanal Khimj akitoa manano ya utangulizi kabla ya kumkaribisha Mzee Mwinyi kuzungumza Mzee Mwinyi akizungumza "Hekima ikiongezeka Maneno yanapungua", akisema Mzee Mwinyi mwishoni mwa hotuba yake iliyojaa hekima. Kwa taarifa kamili na picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani