Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwitikio wa kujiunga CHF Iramba waonyesha matunda

NI ukweli usiopingika kwamba idadi kubwa ya wakazi wa Mkoa wa Singida wamekuwa wakishindwa kupata huduma bora za afya kutokana na sababu kubwa moja ambayo ni uwezo duni wa kiuchumi....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

CHF yakusanya mamilioni Iramba

DSC00021

Mkuu wa wilaya ya Iramba mkoa wa Singida, Yahaya Nawanda akihamasisha wananchi wakazi wa kijiji cha Kizonzo na Mgongo,kujiunga na mfuko wa afya ya jamii (CHF), ili waweze kujihakikishia matibabu stahiki kipindi chote cha mwaka.Kwa mujibu wa Nawanda, Kuku moja wa kienyeji mwenye thamani ya shilingi 10,000 tu, anatosha kugharamia ada ya uanachama na mume, mke moja na watoto wanane kupata matibabu mwaka mzima bila kuongeza fedha nyingine.

Na Nathaniel Limu, Singida

MFUKO wa afya ya jamii...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanachama wa CHF Iramba wakosa dawa

SAM_2087

Pichani ni majengo ya kituo cha afya cha tarafa ya Ndago, wilayani Iramba yanayokabiliwa na uhaba mkubwa wa dawa kwa wanachama wake wa Mfuko wa afya ya jamii (CHF)katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia Oktoba hadi disemba,mwaka jana (Picha na Jumbe Ismailly).

Na Jumbe Ismailly, Iramba                                

LICHA ya Wilaya ya Iramba,Mkoani Singida kutajwa kuongoza nchini kwa kuwa na wanachama wengi  wa Mfuko wa Afya  ya Jamii Nchini (CHF) baada ya zaidi ya asilimia 60 ya kaya zake...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NHIF kuendesha kampeni jamii kujiunga CHF

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unatarajia kuendesha kampeni ya siku 60 nchini kuhamasisha jamii kujiunga na huduma za mfuko wa Afya ya Jamii (CHF/Tika). Kampeni hiyo ambayo...

 

11 years ago

Habarileo

Umasikini uliokithiri kikwazo cha kujiunga na CHF

UMASIKINI wa kipato uliokithiri miongoni mwa wananchi, upungufu wa dawa , vifaa na vifaa tiba katika vituo vinavyotoa huduma za afya wilayani Nkasi, vimetajwa kutoa changamoto kwa wananchi katika kujiunga na Mfuko wa Afya ya Msingi (CHF) wilayani humo.

 

10 years ago

Dewji Blog

DC aagiza watendaji kujiunga CHF kuvutia wananchi

DSC02420

Kaimu meneja mfuko wa taifa bima ya afya (NHIF) mkoa wa Singida, Adamu Salum,akizungumza siku ya uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha wananchi wa kijiji cha Simbanguru wilayani Manyoni kujiunga na mfuko wa afya ya jamii (CHF),juzi.Amedai kwamba ugonjwa haubagui wala hautoi taarifa ya ujio wake,hivyo kujiweka upande salama,ni kujiunga na mifuko ya afya ukiwemo wa CHF.

Na Nathaniel Limu, Manyoni

MKUU  wa Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida Fatma Hassan Toufiq ameagiza viongozi wa ngazi mbalimbali...

 

11 years ago

Michuzi

WANANCHI WA MKOA WA LINDI WAASWA KUJIUNGA NA CHF-ZAMBI

SERIKALI imeutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kuendesha huduma za elimu ya kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza katika mikoa yote hususani vijijini pamoja na upimaji wa afya bure ili wananchi watambue afya zao na hatimaye kuongeza uzalishaji katika sekta za kilimo na uvuvi na biashara kwa ujumla.
Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Godfrey Zambi wakati wa maonesho ya Nane Nane Kitaifa yanayoendelea mkoani Lindi ambapo Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YAENDELEA KUWAHAMASISHA WANANCHI WA KILWA KUJIUNGA NA CHF

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF),  Rehani Athumani (kulia) akikabidhi baadhi ya mashuka kwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Chumo, Khatib Riwanda kwa matumizi ya Zahanati ya Kijiji hicho cha Chumo, wakati wa muendelezo wa Kampeni yake iliyofanyika leo kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Chumo, Kata ya Chumo, Kilwa Mkoani Lindi. Katikati ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoa wa Lindi, Fortunata Raymond.Picha na Othman Michuzi, Lindi.Mkurugenzi wa Masoko...

 

10 years ago

Vijimambo

LINDI WAONYESHA MAHABA YA DHATI KWA LOWASSA, WANACCM ZAIDI YA ELFU 3 WA JIMBO LA MTAMA WARUDISHA KADI NA KUJIUNGA UKAWA

Umati wa Wananchi wa Lindi Mjini, wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili, Mkoani Lindi leo Septemba 23, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, LINDI.Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia Wananchi, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule...

 

11 years ago

Michuzi

NHIF Yawapongeza Viongozi wa Dini kwa kuhamasisha kaya kujiunga na CHF

Meneja Mwandamizi wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) Kanda ya Magharibi – Tabora Bw. Emmanuel Adina (kushoto) akifafanua jambo kwa Afisa Habari wa kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Jonas Kamaleki alipofanya mahojiahano naye kuhusu Mfuko wa Afya ya Jamii unavyo nufaisha Vijana wakati wa Maonyesho ya Wiki ya Vijana inayofanyika Kitaifa Mkoani Tabora.Afisa Masoko na Elimu kwa Umma wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Bibi Catherine Kameka akielezea jambo kuhusu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani