Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwizi wa fedha ATM afungwa miaka mitatu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela, raia wa Bulgaria, Todor Peev Peev (38) baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa fedha katika mashine ya ATM.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PISTORIOUS AFUNGWA MIAKA 5

Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp. Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp. Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius akiwa na mpenzi wake Reeva Steenkamp enzi za uhai… ...

 

11 years ago

Habarileo

Mbulgaria jela miaka 3 kwa wizi kupitia ATM

RAIA wa Bulgaria, Todor Peev amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini baada ya mahakama kumtia hatiani kutokana na makosa 20 ya wizi wa Sh milioni 12.2 kupitia mashine za kutolea fedha (ATM) katika benki mbalimbali.

 

5 years ago

BBCSwahili

Polisi wa usalama barabarani aachwa mdomo wazi baada ya mwizi kumuibia fedha za rushwa Kenya

Kwa mujibu wa habari zilizochapishwa kwenye mtandao wa gazeti la Nation, mwizi huyo alizuka gahfla kutoka msituni, akanyakua kifurushi kilichokuwa na pesa kando mwa barabara na kisha kuchanja mbuga kwa kasi!

 

11 years ago

Tanzania Daima

Afungwa miaka 70 kwa kulawiti

MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi  imemhukumu kifungo cha miaka 70, Forensi  Albeto (34) baada ya kupatikana na hatia  ya kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa kambo mwenye...

 

10 years ago

BBCSwahili

Afungwa miaka 8 kwa kumuoza bintiye

Raia mmoja wa Australia ambaye alipanga ndoa ya kiislamu kumuoza bintiye mdogo mwenye umri wa miaka 12 amehukumiwa miaka minane jela.

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyewaambukiza 200 na HIV afungwa miaka 25

Daktari bandia aliyewaambukiza watu takriban 200 virusi vya ukimwi nchini Cambodia amehukumiwa jela miaka 25.

 

10 years ago

Vijimambo

Pistorius apatikana na hatia, afungwa jela miaka 5

Pistorius alipatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake bila kukusudia
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.

Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp mwaka uliopita.

Jaji anayetoa hukumu hiyo,Thokozile Masipa,alianza kutoa kauli yake ya mwisho kabla ya kutoa hukumu saa mbili na nusu asubuhi na akasema ni changamoto kubwa kwake kupata adhabu ambayo...

 

10 years ago

Michuzi

ALIYETEKA ALBINO TABORA AFUNGWA JELA MIAKA 10

Na Daniel Mbega, Nzega
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Nzega leo hii imemhukumu Masanja Mwinamila (44), mkazi wa Kitongoji cha Kona Nne, Kijiji cha Ugembe II, Kata ya Mwakashanhala, Tarafa ya Puge wilayani Nzega katika Mkoa wa Tabora kwenda jela miaka 10 kwa kosa la kuteka mtoto mwenye albinism, Margreth Hamisi (6).Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Saraphine Nsana, alitoa hukumu hiyo baada ya mshtakiwa kusomewa shtaka na kukiri kutenda kosa hilo.
Ilielezwa mahakamani hapo kwamba,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanariadha Pistorius afungwa jela miaka mitano

Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa kifungo cha kwenda jela miaka 5 baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani