Mzee Kambi: Nilikaa Miaka Saba Bila Mwanamke
Mwigizaji mkongwe wa filamu nchini, Hashim Kambi ‘Mzee Kambi’ alikuwa mvumilivu na kuishi bila mwanamke kwa muda wa miaka saba mpaka alipoamua kuoa mwezi wa kumi mwaka huu.
Akipiga stori na GPL, Mzee Kambi alisema kwa muda wote huo alikuwa akishughulika zaidi na kazi kwani tayari ana watoto wakubwa na hakuona haja ya kuwa na mwanamke hadi alipoamua kumuoa mchumba wake ambaye ni raia wa Burundi aliyemtaja kwa jina moja la Hadija.
“Namshukuru Mungu kwamba amenipa mke mwema, uzuri ni kwamba...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Wananchi watakiwa kujitokeza kwenye kambi ya kupima Afya bila malipo kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5
Mkurugenzi Mtendaji wa Kliniki ya kimataifa ya afya ya uzazi kwa baba, mama, mtoto na vijana (AMM), Dk Ali Mzige (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Kambi ya kupima afya bila malipo kwa watoto wadogo, itakayofanyika Jumapili ya Machi 8 mwaka huu. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa umoja wa jamii ya watu kutoka India Bengali waliopo hapa Tanzania, BANGO SANGHO, Amit Nandy na kulia ni mwakilishi wa shule ya Kibugumu, Mwalimu Mzamili Ally.
Na Andrew Chale modewji...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/DSCN9215.jpg)
WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KWENYE KAMBI YA KUPIMA AFYA BILA MALIPO KWA WATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 5
10 years ago
Dewji Blog29 Jun
Wadau wa Modewji blog wajumuika kusherehekea miaka 7 ya mtandao huo ndani ya viwanja vya Saba Saba
Mdau wa modewjiblog, Ray the hustler (kushoto) aliyeambatana ndugu zake kutembelea banda la Modewjiblog katika picha ya pamoja na Mwandishi wa habari mwandamizi wa mtandao wa Modewjiblog, Andrew Chale.
Na Modewjiblog team
Shamra shamra za miaka Saba za mtandao wa habari nchini wa Modewji blog tayari zimeanza kurindima ndani ya banda la MeTL Group lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyoanza jana kwenye mabanda ya SabaSaba katika viwanja vya Mwalimu...
10 years ago
Vijimambo29 Jun
WADAU WA MODEWJI BLOG WAJUMUIKA KUSHEREHEKEA MIAKA 7 YA MTANDAO HUO NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA
![IMG_5219](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_5219.jpg)
Mdau wa modewjiblog, Ray the hustler (kushoto) aliyeambatana ndugu zake kutembelea banda la Modewjiblog katika picha ya pamoja na Mwandishi wa habari mwandamizi wa mtandao wa Modewjiblog, Andrew Chale.
![DSC_0582](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/DSC_0582.jpg)
Afisa Masoko wa taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyochini ya Wizara ya Fedha, (UTT-PID), Kilave Atenaka (katikati) pamoja na Afisa kutoka taasisi hiyo Beatrice Ngode waki-show love na T-shirts za modewjiblog walizokabidhiwa walipotembelea banda la modewjiblog na kujionea shughuli...
11 years ago
BBCSwahili08 Jun
Mwanamke ashambulia kambi Nigeria
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XkRrFz4ymKmUWJXtjCiHNS0SwzfmEWAhTCmjwTUZdeosMIvqWzWU0dcxGwjppZPkgYGkbWwRaOGTZXVBx6An2TNVBt*T3SXx/150507214029_burundian_refugee_kigoma_640x360_bbc_nocredit.jpg)
WAKIMBIZI SABA WA BURUNDI WAFARIKI DUNIA KAMBI ZA KIGOMA
9 years ago
StarTV03 Nov
Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)
Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Mzee Chilo, Kijo, Hashim Kambi ndani ya ‘Homecoming’
NA MWANDISHI WETU
MASTAA wengi wa Bongo Movie wamekutanishwa katika filamu mpya ya ‘Homecoming’, inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni, huku ikilenga kubadilisha soko la mauzo ya filamu za Tanzania.
Baadhi ya mastaa hao walioshiriki katika filamu hiyo ni pamoja na Daniel Kijo, aliyekuwa akitangaza kipindi cha Daladala kinachorushwa na televisheni ya Star TV, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’, Hashim Kambi, Susan Lewis ‘Natasha’ na Abby Plaatjes, aliyewahi kuwa mmoja wa washiriki wa Big Brother...
10 years ago
Bongo Movies29 May
Mzee Kambi: Tasnia Ina Waigizaji ‘Wamakamo Yake’ Wachache
Staa wa filamu Hashim Kambi, ambaye anafanya vizuri katika tasnia hiyo kwa miaka 10 sasa, amekiri kuwepo na uchache wa waigizaji wa makamo yake katika tasnia hiyo, hali iliyotengenezwa na imani potofu kuwa uigizaji ni uhuni katika kipindi cha nyuma.
Hashim amesema kuwa, binafsi alishawishiwa kuanza kuigiza baada ya nafasi za uhusika wa watu wazima katika filamu kuwa zinafanywa na watoto, hivi sasa kukiwa na watu wazima wasiozidi watano katika tasnia hiyo nzima.
Hashim Kambi amesema kuwa...