Mzee Kambi: Tasnia Ina Waigizaji ‘Wamakamo Yake’ Wachache
Staa wa filamu Hashim Kambi, ambaye anafanya vizuri katika tasnia hiyo kwa miaka 10 sasa, amekiri kuwepo na uchache wa waigizaji wa makamo yake katika tasnia hiyo, hali iliyotengenezwa na imani potofu kuwa uigizaji ni uhuni katika kipindi cha nyuma.
Hashim amesema kuwa, binafsi alishawishiwa kuanza kuigiza baada ya nafasi za uhusika wa watu wazima katika filamu kuwa zinafanywa na watoto, hivi sasa kukiwa na watu wazima wasiozidi watano katika tasnia hiyo nzima.
Hashim Kambi amesema kuwa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog13 Sep
JK aomboleza kifo cha aliyekuwa mmoja wa magwiji wa Tasnia ya Utangazaji nchini Mzee Godfrey Mngodo
Marehemu Mzee Godfrey Mngodo enzi za uhai wake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha aliyekuwa mmoja wa magwiji wa Tasnia ya Utangazaji nchini Mzee Godfrey Mngodo ambaye alifariki dunia, Ijumaa, Septemba 11, 2015 mjini Dar es Salaam.
Katika salamu zake za rambirambi kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara, Rais Kikwete amesema kuwa amesikitishwa na taarifa za kifo cha...
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Mzee Chilo, Kijo, Hashim Kambi ndani ya ‘Homecoming’
NA MWANDISHI WETU
MASTAA wengi wa Bongo Movie wamekutanishwa katika filamu mpya ya ‘Homecoming’, inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni, huku ikilenga kubadilisha soko la mauzo ya filamu za Tanzania.
Baadhi ya mastaa hao walioshiriki katika filamu hiyo ni pamoja na Daniel Kijo, aliyekuwa akitangaza kipindi cha Daladala kinachorushwa na televisheni ya Star TV, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’, Hashim Kambi, Susan Lewis ‘Natasha’ na Abby Plaatjes, aliyewahi kuwa mmoja wa washiriki wa Big Brother...
10 years ago
Bongo Movies26 Dec
Mzee Kambi: Nilikaa Miaka Saba Bila Mwanamke
Mwigizaji mkongwe wa filamu nchini, Hashim Kambi ‘Mzee Kambi’ alikuwa mvumilivu na kuishi bila mwanamke kwa muda wa miaka saba mpaka alipoamua kuoa mwezi wa kumi mwaka huu.
Akipiga stori na GPL, Mzee Kambi alisema kwa muda wote huo alikuwa akishughulika zaidi na kazi kwani tayari ana watoto wakubwa na hakuona haja ya kuwa na mwanamke hadi alipoamua kumuoa mchumba wake ambaye ni raia wa Burundi aliyemtaja kwa jina moja la Hadija.
“Namshukuru Mungu kwamba amenipa mke mwema, uzuri ni kwamba...
10 years ago
Mwananchi27 Jun
Mwandosya amuita Lowassa kambi yake
5 years ago
Michuzi
TAEC:MIONZI INA FAIDA KUBWA NA SIYO MADHARA PEKE YAKE

Profesa Lazaro Busagala,Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu ya nchini (TAEC) akizungumza na washiriki wa mafunzo ya usimamizi wa usalama wa mionzi yaliyofanyika Makao makuu ya Tume hiyo Jijini Arusha.
Mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo ya siku tano kutoka Serengeti Breweries mafunzo ya usimamizi wa usalama wa mionzi yaliyofanyika Makao makuu ya Tume hiyo Jijini Arusha.
Mmoja wa washiriki wa mafunzo ya mafunzo ya usimamizi wa usalama wa mionzi yaliyofanyika Makao makuu ya Tume hiyo Jijini...
11 years ago
GPL
ETI WANANDOA, MBONA KILA MTU SIMU YAKE INA PASSWORD?
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Hivi ndivyo mzee Masele alivyoporwa ardhi yake
10 years ago
Michuzi
Mzee Kingunge atoa yake ya moyoni mjini Dodoma leo

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo Jumatano Julai 8, 2015, Kingunge ambaye ameshawahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini na ndani ya chama hicho alisema “ninatishwa na watu wanaotumia nguvu nyingi kwelikweli...