Mzee Ruksa aalikwa Tamasha la Pasaka
![](http://1.bp.blogspot.com/-DDymfPraJsY/VQntE43Q6QI/AAAAAAAHLW8/l5LuZfeo_bM/s72-c/Patron1.jpg)
WAANDAAJI wa Tamasha la Pasaka wamemualika Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi kushuhudia tamasha la mwaka huu. Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama alisema kwenye taarifa yake kwa vyombo vya habari jana kuwa wamemualika Mzee Mwinyi kwa sababu ana historia kubwa na tamasha hilo.“Mzee mwinyi alikuwa mgeni rasmi kwenye tamasha letu la kwanza, hivyo tumemualika aje aone vijana wake tunavyoendelea baada ya kutupa baraka wakati huo. “Bado hatujapata...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-nh0otPtPK6o/UxQINA7YNBI/AAAAAAAFQr4/bEqAA5cqTFw/s72-c/IMG_5530.jpg)
TAMASHA LA PASAKA RUKSA KUFANYIKA-BASATA
BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) mwishoni mwa wiki iliyopita lilikabidhi kibali kupitia Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Godfrey Mngereza kwa ajili ya uendeshaji wa Tamasha la Pasaka linaloandaliwa na Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam.
Tamasha hilo ni muendelezo wa Tamasha la Pasaka lililoasisiwa tangu mwaka 2000 likiwa na lengo la kumtukuza na kumtumikia Mungu kupitia nyimbo mbalimbali za waimbaji wa Tanzania na nje ya nchi.
![](http://4.bp.blogspot.com/-nh0otPtPK6o/UxQINA7YNBI/AAAAAAAFQr4/bEqAA5cqTFw/s1600/IMG_5530.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Mkenya aalikwa kupamba tamasha la shukurani
MWIMBAJI wa nyimbo za injili kutoka nchini Kenya, B4C, anatarajiwa kunogesha tamasha la shukurani lililopewa jina la ‘Get Together Part 2014 Season II’ linalotarajiwa kufanyika Ukumbi wa Word Alive Sinza...
11 years ago
Michuzi16 Apr
KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA KUFANYA TAMASHA LA PASAKA LINA'S CLUB, PASAKA PILI NI KATIKA MJI WA BIHARAMULO
![](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/mu4i9qV6CtseExo4S14E9FBdDx5E-RTJ9mPA0B981EEOuuU3JgCFA-h2xtNWQXXAm7Z2tK6HCsSXZZms6zvveMMhOD-H1JmgY6494wyFqSzldt5DiztBYKt9Vy1QzDEJuxUeGhVmQBWcDJ1EcyIq2cCGxHvCgovmtQLE0YaIQbmiX5rplWqp-0tP5F7QuCvMXAkQbSMOrqdavTIZUqzuWgvfHl-S9pPDP0tSQf4Z4ItaKN4uW8ed5DcZZvblwhZhvqUfH6ko2G6FTQftFCef2FTd5oD6sBOcpF91VY02BGsV3xoijj4zDXGRKiGi3IWlMUs_DKktLZtweVOaYSN2RqDMsb7BEP0=s0-d-e1-ft#https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-zcKVjNsVVhQ%2FU01Q1lx2slI%2FAAAAAAAAVkM%2FuxQON5LjPVk%2Fs1600%2Fkapotive%2B2000.png&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Mratibu wa Tamasha hilo Bw. Andrew Kagya amesema kuwa Mwimbaji mgeni (Guest singer) atakuwa Flora Mbasha na kundi lake zima kutoka jijini Dar es Salaam na pia Kutakuwepo kwaya mbalimbali za RC, KKKT na...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-cL1NwjSO1Dg/Uwp4gS1a1_I/AAAAAAAFPLU/c-vFD7Wsxrk/s72-c/_MG_0649.jpg)
Kutoka maktaba: Mzee Ruksa na kamati ya saidia taifa stars ishinde mwaka 1994 na wanahabari Ikulu
![](http://3.bp.blogspot.com/-cL1NwjSO1Dg/Uwp4gS1a1_I/AAAAAAAFPLU/c-vFD7Wsxrk/s1600/_MG_0649.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Miaka 14 ya Tamasha la Pasaka
TAMASHA la Pasaka mwaka huu linatarajiwa kufikisha miaka 14 tangu kuanzishwa kwake na Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam. Tangu kuanzishwa kwa tamasha hilo, Watanzania wameweza kujumuika...
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Tamasha la Pasaka lasifiwa
10 years ago
MichuziWatanzania walipania Tamasha la Pasaka
WAUMINI wa Kikristo waliopata fursa ya kushiriki semina ya neno la Mungu iliyoandaliwa na mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege iliyomalizika jana katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam wamesema wanahamu kubwa na Tamasha la mwaka huu kwa kuwa litakuwa na vitu vya kipekee.
Wakizungumza leo katika viwanja hivyo, walisema kikubwa ambacho kinaonesha utofauti ni kutimiza miaka 15 tangu kuanza hivyo kuadhimisha miaka hiyo kutakuwa na mambo tofauti yatakayopatikana siku...