Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZEE WA KANISA AAIBIKA!

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally
Tumekwisha! Mzee wa kanisa la kiroho (jina linahifadhiwa kwa sasa), aliyetajwa kwa jina la Luca Pesa, mkazi wa Segerea, Dar, ameaibika baada ya kukurupushwa kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti) akidaiwa kutaka kuvunja amri ya sita na binti ambaye ni msanii chipukizi wa filamu za Kibongo, Debora Jacob, Ijumaa lina kisanga cha aina yake. Mzee wa kanisa la kiroho aliyetajwa kwa jina la Luca...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kanisa lamkana Mzee wa Kanisa


Ni anayedaiwa kufuga chatu nyumbani ajipanga kumwadhibu kwa kulichafua 
Na waandishi wetu, arusha
SAKATA la nyoka aina ya Chatu kukutwa nyumbani kwa Mzee wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Monica jijini hapa, Joseph Magesa, limechukua sura mpya baada ya kanisa kumkana kumtambua.
Juzi, waumini na wananchi walikusanyika kanisani hapo kumshughudia Magesa baada ya kuahidi kuwa angefika kula kiapo, lakini hakuweza kutimiza ahadi hiyo na kuzidisha utata.
Hata hivyo, jana kanisa hilo limesema...

 

11 years ago

GPL

MZEE WA KANISA ALIFUNGA KANISA!

Stori:  Na Mwandishi Wetu, Mbeya
WAUMINI wa Kanisa la Nyumba ya maombi (House of Prayer Shield of Faith Christian Fellowship) lililopo jijini Mbeya wamekosa sehemu ya kufanyia ibada baada ya Kanisa lao kufungwa na mzee wa Kanisa hilo, Laurence Malongo. Mchungaji wa Kanisa hilo, Owden Mwakifuna amesema hivi karibuni mzee Mwalongo alifika kanisani na kuwataka waumini wote kutoka huku akionekana kutawaliwa na jazba. Mchungaji...

 

11 years ago

GPL

FREEMASON WALITIKISA KANISA LA MZEE WA UPAKO

Stori: Jelard Lucas
ULE uvumi kwamba baadhi ya wachungaji na maaskofu wa makanisa ya kiroho  nchini wanajihusisha na imani ya Freemason unazidi kushika kasi huku awamu hii ‘rungu’ likimwangukia Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo jijini Dar, Lusekelo Antony ‘Mzee wa Upako’ na kutikisika, Uwazi lina cha kusema. MINONG’ONO ILIVYOANZA
Madai ya mtumishi huyo kujihusisha na imani ya...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

CHATU KUKUTWA KWA MZEE WA KANISA....


SHAABAN MDOE NA LILIAN JOEL, ARUSHA
SAKATA la kukutwa kwa myoka aina ya chatu ndani ya nyumba ya mzee wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha Parokia ya Mtakatifu Monica, Joseph Magesa, limechukua sura mpya baada ya Kikosi Dhidi ya Ujangili (KDU) Kanda ya Kaskazini kuanza uchunguzi ili kubaini iwapo kama alikuwa akimilikiwa kihalali.
Akizungumza na UUHURU WIKENDI ofisini kwake jana, Kamanda wa kikosi hicho, Paschal Mrina, alisema uchunguzi huo umeanza mara moja, muda mfupi baada ya kupokea...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Unajifanya mzee wa kanisa kumbe unavizia kuiba sadaka!

NATUMAINI kuwa wengi wetu tunaelewa kuwa nini maana ya sadaka hasa katika sehemu zetu za ibada, iwe ni makanisani, misikitini, mahekaluni au popote pale. Sadaka inaweza kutolewa kwa pesa, kuchinja...

 

11 years ago

GPL

SANGOMA AAIBIKA!

Na Richard Bukos na Issa Mnally Ama kweli uswazi hakuishi vijimambo! Mganga wa jadi almaarufu sangoma aliyetajwa kwa jina la Wadebi Jinasa amepata aibu ya karne baada ya kunaswa ‘live’ na wake za watu kwenye gesti moja (jina linahifadhiwa) iliyopo Tandika jijini Dar es Salaam. Mganga wa jadi almaarufu sangoma aliyetajwa kwa jina la Wadebi akijutia baada ya kunaswa live.
Tukio hilo la aina yake lilijiri maeneo...

 

11 years ago

GPL

MWANAKWAYA AAIBIKA!

Stori:RICHARD BUKOS
Ni aibu iliyoje? Mwanadada ambaye amejitambulisha kuwa ni msomi wa chuo kikuu (jina lipo) ambaye pia ni mwanakwaya chuoni hapo aliyejitaja kwa jina moja la Rei ameaibika baada ya kunaswa usiku mnene akijiuza, Risasi Jumamosi linaifumua. Mwanakwaya,msomi wa chuo kikuu (katikati), aliyejitaja kwa jina moja la Rei. Rei alikamatwa katika msako wa polisi katikati ya Jiji la Dar (City Center) hivi karibuni akiwa...

 

10 years ago

GPL

DENTI UPADRI AAIBIKA GESTI

Stori: Gladness Mallya Aibu kuu! Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Leonard Celestine ambaye anasomea upadri, anayemalizia masomo ya falsafa (philosophy) mwaka wa tatu katika Chuo cha Jordan mjini Morogoro, anadaiwa kuaibika gesti, kisa kikiwa ni mke wa mtu gesti. Bw. Leonard Celestine aliyeaibika gesti na mke wa mtu. TUJIUNGE GESTI
Kwa mujibu wa shuhuda wetu, tukio hilo la aina yake lilijiri hivi karibuni kwenye Gesti ya...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AAIBIKA UWANJANI

Dustan Shekidele, Morogoro
NYOTA wa kuigiza sauti za watu maarufu aliye pia mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wikiendi iliyopita alijikuta akiaibika kwa kuzomewa na kupopolewa kwa chupa za maji na mashabiki wa Klabu ya Simba baada ya kuingia uwanjani na demu aliyevaa ‘kihasarahasara’. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’akiwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani