MZEE WA KANISA ALIFUNGA KANISA!
![](http://api.ning.com:80/files/bquVoc42xDNlK1QUfCFu0BvXWldpu3sLV-EJQqhyOV5CP2q26SVPWiIMuGd6wfMAOrBu*OFQl002KNVh3HdsW4KWhs4dtVrQ/mzee.jpg?width=650)
Stori:Â Na Mwandishi Wetu, Mbeya WAUMINI wa Kanisa la Nyumba ya maombi (House of Prayer Shield of Faith Christian Fellowship) lililopo jijini Mbeya wamekosa sehemu ya kufanyia ibada baada ya Kanisa lao kufungwa na mzee wa Kanisa hilo, Laurence Malongo. Mchungaji wa Kanisa hilo, Owden Mwakifuna amesema hivi karibuni mzee Mwalongo alifika kanisani na kuwataka waumini wote kutoka huku akionekana kutawaliwa na jazba. Mchungaji...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Kanisa lamkana Mzee wa Kanisa
Ni anayedaiwa kufuga chatu nyumbani ajipanga kumwadhibu kwa kulichafua
Na waandishi wetu, arusha
SAKATA la nyoka aina ya Chatu kukutwa nyumbani kwa Mzee wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Monica jijini hapa, Joseph Magesa, limechukua sura mpya baada ya kanisa kumkana kumtambua.
Juzi, waumini na wananchi walikusanyika kanisani hapo kumshughudia Magesa baada ya kuahidi kuwa angefika kula kiapo, lakini hakuweza kutimiza ahadi hiyo na kuzidisha utata.
Hata hivyo, jana kanisa hilo limesema...
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala yazindua harambee kukarabati kanisa hilo
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi
Mwanajumuiya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Stephen Minja, akionyesha Kadi Maalumu ya harambee ya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ph4Aa25jMlk/VTTiw8bmmAI/AAAAAAAC3UQ/8EHqustY3aw/s72-c/1.jpg)
KANISA KATOLIKI POROKIA YA MWANANYAMALA YAZINDUA HARAMBEE KUKARABATI KANISA HILO
![](http://2.bp.blogspot.com/-ph4Aa25jMlk/VTTiw8bmmAI/AAAAAAAC3UQ/8EHqustY3aw/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-sZD_07Sg5v0/VTTiuCUA03I/AAAAAAAC3UI/t4dJUbMvvnw/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GyxUwmKhA-Y/VTTi6vqqaXI/AAAAAAAC3U0/Q99oBdlO65s/s1600/9.jpg)
11 years ago
Dewji Blog29 Jun
Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku ya mwisho wakaribisha watu mbalimbali katika Kanisa lao
Kiongozi wa shule ya Jumapili wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku za mwisho,Dr, Emanuel Kandusi akiwapatia maelezo mbalimbali kwa watu waliotembelea kanisa hilo wakati wa siku ya wazi kwa ajili ya watu mbalimbali kuangalia shughuli zinazofanywa na kanisa hilo.
Mwakilishi wa Darasa la Mkono msaidizi wa akina mama Happy Ayubu akitoa maelezo kwa watu waliotembelea kanisa hilo.
Baadhi ya watu waliotembelea kanisa hili wakipata maelekezo mbalimbali.
Baadhi ya watu waliotembelea...
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA KANISA MORAVIAN TANZANIA, ATAKA KANISA KULIOMBEA TAIFA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EwLJgW6X-wU8oHnB2EpDggJce6agwAOIzVTtRrstcRjhZBB3Rf5L62uWOTI9cMzsOGgzLuqA4IeC1fTejYhIv5E9HUcJqq64/mzee.jpg?width=650)
MZEE WA KANISA AAIBIKA!
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
CHATU KUKUTWA KWA MZEE WA KANISA....
SHAABAN MDOE NA LILIAN JOEL, ARUSHA
SAKATA la kukutwa kwa myoka aina ya chatu ndani ya nyumba ya mzee wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha Parokia ya Mtakatifu Monica, Joseph Magesa, limechukua sura mpya baada ya Kikosi Dhidi ya Ujangili (KDU) Kanda ya Kaskazini kuanza uchunguzi ili kubaini iwapo kama alikuwa akimilikiwa kihalali.
Akizungumza na UUHURU WIKENDI ofisini kwake jana, Kamanda wa kikosi hicho, Paschal Mrina, alisema uchunguzi huo umeanza mara moja, muda mfupi baada ya kupokea...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3vKQkh-FlomvRMBRekzmvC5XKCDaFq3WPF7JLuNNrSuBsOiS*pr*hM0Xko0hdUoHuH2wQsEOfyrKVBQmf1l-I-oQ4gu0l3P-/FREEMASON.jpg?width=650)
FREEMASON WALITIKISA KANISA LA MZEE WA UPAKO
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Unajifanya mzee wa kanisa kumbe unavizia kuiba sadaka!
NATUMAINI kuwa wengi wetu tunaelewa kuwa nini maana ya sadaka hasa katika sehemu zetu za ibada, iwe ni makanisani, misikitini, mahekaluni au popote pale. Sadaka inaweza kutolewa kwa pesa, kuchinja...