Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Unajifanya mzee wa kanisa kumbe unavizia kuiba sadaka!

NATUMAINI kuwa wengi wetu tunaelewa kuwa nini maana ya sadaka hasa katika sehemu zetu za ibada, iwe ni makanisani, misikitini, mahekaluni au popote pale. Sadaka inaweza kutolewa kwa pesa, kuchinja...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MUUMINI AIBA SADAKA ZA KANISA

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVPETER Muiya muumini wa kanisa katoliki la Mtakatifu James lililopo Muranga nchini Kenya amewekwa chini ya ulinzi kwa tuhuma za wizi wa sadaka katika kanisa hilo, vyombo vya habari nchini humo vimeripoti.
Imeelezwa kuwa kanisa hilo lilitazama video zilizofichwa (CCTV) baada ya kugundua kuwa fedha zimepotea kutoka kasha maalumu zilipohifadhiwa na kugundua kuwa Peter alitengeneza njia kanisani humo na kutumia waya mwembamba kutoa fedha hizo kutoka katika kasha.
Kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Viongozi wa kanisa walipora sadaka Singapore

Mahakama nchini Singapore imewapata na hatia ya ufisadi, viongozi sita wa kanisa kongwe na kubwa zaidi nchini humo.

 

11 years ago

Habarileo

Wezi wavunja kanisa na kuiba

WEZI wamevunja na kuiba kwenye ofisi ya Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Nkuhungu. Pia wezi hao waliweza kuondoka na fedha taslimu Sh 298,800.

 

11 years ago

GPL

MZEE WA KANISA ALIFUNGA KANISA!

Stori:  Na Mwandishi Wetu, Mbeya
WAUMINI wa Kanisa la Nyumba ya maombi (House of Prayer Shield of Faith Christian Fellowship) lililopo jijini Mbeya wamekosa sehemu ya kufanyia ibada baada ya Kanisa lao kufungwa na mzee wa Kanisa hilo, Laurence Malongo. Mchungaji wa Kanisa hilo, Owden Mwakifuna amesema hivi karibuni mzee Mwalongo alifika kanisani na kuwataka waumini wote kutoka huku akionekana kutawaliwa na jazba. Mchungaji...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kanisa lamkana Mzee wa Kanisa


Ni anayedaiwa kufuga chatu nyumbani ajipanga kumwadhibu kwa kulichafua 
Na waandishi wetu, arusha
SAKATA la nyoka aina ya Chatu kukutwa nyumbani kwa Mzee wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Monica jijini hapa, Joseph Magesa, limechukua sura mpya baada ya kanisa kumkana kumtambua.
Juzi, waumini na wananchi walikusanyika kanisani hapo kumshughudia Magesa baada ya kuahidi kuwa angefika kula kiapo, lakini hakuweza kutimiza ahadi hiyo na kuzidisha utata.
Hata hivyo, jana kanisa hilo limesema...

 

11 years ago

GPL

MZEE WA KANISA AAIBIKA!

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally
Tumekwisha! Mzee wa kanisa la kiroho (jina linahifadhiwa kwa sasa), aliyetajwa kwa jina la Luca Pesa, mkazi wa Segerea, Dar, ameaibika baada ya kukurupushwa kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti) akidaiwa kutaka kuvunja amri ya sita na binti ambaye ni msanii chipukizi wa filamu za Kibongo, Debora Jacob, Ijumaa lina kisanga cha aina yake. Mzee wa kanisa la kiroho aliyetajwa kwa jina la Luca...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

CHATU KUKUTWA KWA MZEE WA KANISA....


SHAABAN MDOE NA LILIAN JOEL, ARUSHA
SAKATA la kukutwa kwa myoka aina ya chatu ndani ya nyumba ya mzee wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha Parokia ya Mtakatifu Monica, Joseph Magesa, limechukua sura mpya baada ya Kikosi Dhidi ya Ujangili (KDU) Kanda ya Kaskazini kuanza uchunguzi ili kubaini iwapo kama alikuwa akimilikiwa kihalali.
Akizungumza na UUHURU WIKENDI ofisini kwake jana, Kamanda wa kikosi hicho, Paschal Mrina, alisema uchunguzi huo umeanza mara moja, muda mfupi baada ya kupokea...

 

11 years ago

GPL

FREEMASON WALITIKISA KANISA LA MZEE WA UPAKO

Stori: Jelard Lucas
ULE uvumi kwamba baadhi ya wachungaji na maaskofu wa makanisa ya kiroho  nchini wanajihusisha na imani ya Freemason unazidi kushika kasi huku awamu hii ‘rungu’ likimwangukia Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo jijini Dar, Lusekelo Antony ‘Mzee wa Upako’ na kutikisika, Uwazi lina cha kusema. MINONG’ONO ILIVYOANZA
Madai ya mtumishi huyo kujihusisha na imani ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani