Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa kanisa walipora sadaka Singapore

Mahakama nchini Singapore imewapata na hatia ya ufisadi, viongozi sita wa kanisa kongwe na kubwa zaidi nchini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MUUMINI AIBA SADAKA ZA KANISA

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVPETER Muiya muumini wa kanisa katoliki la Mtakatifu James lililopo Muranga nchini Kenya amewekwa chini ya ulinzi kwa tuhuma za wizi wa sadaka katika kanisa hilo, vyombo vya habari nchini humo vimeripoti.
Imeelezwa kuwa kanisa hilo lilitazama video zilizofichwa (CCTV) baada ya kugundua kuwa fedha zimepotea kutoka kasha maalumu zilipohifadhiwa na kugundua kuwa Peter alitengeneza njia kanisani humo na kutumia waya mwembamba kutoa fedha hizo kutoka katika kasha.
Kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Unajifanya mzee wa kanisa kumbe unavizia kuiba sadaka!

NATUMAINI kuwa wengi wetu tunaelewa kuwa nini maana ya sadaka hasa katika sehemu zetu za ibada, iwe ni makanisani, misikitini, mahekaluni au popote pale. Sadaka inaweza kutolewa kwa pesa, kuchinja...

 

11 years ago

Michuzi

PICHA ZIARA YA VIONGOZI WA TANZANIA SINGAPORE

 Kutoka kushoto ni mkurugenzi wa taasisi ya biashara ya kimataifa iliyo chini ya wizara ya viwanda na biashara Singapore, Rahul Ghosh akibadilishana mawazo na Denis Rweyemamu na Linda Manu kutoka taasisi ya Uongozi ya Tanzania ambayo ndiyo iliyoandaa ziara ya mafunzo kwa makatibu wakuu na vionzoi waandamizi wa serikali ya Tanzania nchini Singapore. Baadhi ya makatibu wakuu walioko kwenye ziara ya mafunzo nchini Singapore yaliyoandaliwa na taasisi ya uongozi Tanzania, kutoka kushoto ni...

 

11 years ago

Michuzi

PICHA ZA VIONGOZI WALIOKO SINGAPORE KWA MAFUNZO

 Picha ya pamoja ya viongozi waandamizi wa serikali ya Tanzania walioko nchini Singapore kwa mafunzo yaliyoandaliwa na taasisi ya Uongozi ya Tanzania. Picha hii imepigwa nje ya jengo la taasisi ya HYFLUX ya nchini Singapore, taasisi binaffsi inayojishughulisha na kusafisha maji ya baharini na maji machafu kwaajili ya matumizi ya majumbani. Singapore haina chanzo cha maji ya mito wala visima kwahiyo maji yake kwa matumizi ya majumbani huagizwa kutoka nchini Malayisia Nchi ya Singapore ni...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa pamoja na viongozi wa elimu nchini wametembelea Singapore kujifunza jinsi nchi hiyo ilivyofanya mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu na mafunzo.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika ...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt Shukuru Kawambwa akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa pamoja na viongozi wa elimu nchini watembelea Singapore kujifunza jinsi nchi hiyo ilivyofanya mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu na mafunzo. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika kada ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi Kanisa la TAG kuchangia damu

>Zaidi ya wachungaji 800 wanaounda Baraza la Waangalizi la Kanisa la Tanzania Assemblies of Tanzania (TAG) wamepanga kuchangia damu kwa hiari ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Jubilee ya miaka 75 ya kanisa hilo tangu kuanzishwa kwake nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

MAUAJI: ‘Waliomuua Sista walipora Sh20 mil’

>Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam imesema majambazi waliohusika na mauaji ya Sista wa Kanisa Katoliki, Clencensia Kapuli  wamepora kiasi cha Sh20 milioni na nyaraka mbalimbali.

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA KANISA LA ANGLICAN WATEMBELA SHAMBA LA WAZIRI MKUU ZUZU DODOMA KUJIFUNZA KILIMO BORA CHA ZABIBU NA EMBE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaongoza viongozi wa Kanisa la Anglican kutembelea shamba lake la zabibu lililopo Zuzu Dodoma Februari 9, 2015. Baadhi ya viongozi hao ambao walikwenda kujifunza kwa lengo la kuanzisha shamba linalofanana na hilo Dodoma ni Askofu Dickson Chilongani wa Dayosisi ya Dodoma (kushoto), Askofu Maimbo Mndolwa wa Dayosisi ya Tanga (wapili kushoto) na kulia ni Re. Canon, Johnson Chinyongole ambaye ni Katibu Mkuu wa Kanisa hilo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaongoza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani