Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA ZIARA YA VIONGOZI WA TANZANIA SINGAPORE

 Kutoka kushoto ni mkurugenzi wa taasisi ya biashara ya kimataifa iliyo chini ya wizara ya viwanda na biashara Singapore, Rahul Ghosh akibadilishana mawazo na Denis Rweyemamu na Linda Manu kutoka taasisi ya Uongozi ya Tanzania ambayo ndiyo iliyoandaa ziara ya mafunzo kwa makatibu wakuu na vionzoi waandamizi wa serikali ya Tanzania nchini Singapore. Baadhi ya makatibu wakuu walioko kwenye ziara ya mafunzo nchini Singapore yaliyoandaliwa na taasisi ya uongozi Tanzania, kutoka kushoto ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

PICHA ZA VIONGOZI WALIOKO SINGAPORE KWA MAFUNZO

 Picha ya pamoja ya viongozi waandamizi wa serikali ya Tanzania walioko nchini Singapore kwa mafunzo yaliyoandaliwa na taasisi ya Uongozi ya Tanzania. Picha hii imepigwa nje ya jengo la taasisi ya HYFLUX ya nchini Singapore, taasisi binaffsi inayojishughulisha na kusafisha maji ya baharini na maji machafu kwaajili ya matumizi ya majumbani. Singapore haina chanzo cha maji ya mito wala visima kwahiyo maji yake kwa matumizi ya majumbani huagizwa kutoka nchini Malayisia Nchi ya Singapore ni...

 

11 years ago

Michuzi

Ziara ya NHC na wakurugenzi wa Bodi Singapore

IMG_8978 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi Mh. George Simbachawene akiwa na wajumbe wa Bodi ya NHC na Watendaji wa NHC walipotembelea mji wa Bunggol wenye nyumba za wananchi (social housing estates) nchini Singapore kama sehemu ya ziara ya mafunzo.(Picha na Muungano Saguya-NHC) IMG_9018 Ujumbe wa Tanzania ukielezwa namna mji wa Singapore ulivyopangwa kulingana na matumizi mbalimbali ulipotembelea Mamlaka ya Uendelezaji Miji ya Singapore(URA) jana. IMG_9034 Ujumbe wa Naibu Waziri wa Ardhi,...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA VIONGOZI WA TANZANIA NCHINI FINLAND

  Naibu Meya wa jiji la Helsinki nchini Finland akitoa maelezo kuhusu mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa wa Kalasatama nchini Finland kwa viongozi wa Tanzania walioko katika ziara ya mafunzo nchini humo iliyoandaliwa na taasisi ya Uongozi ya Tanzania  Baadhi ya majengokatikamji wakisasa wa Kalasatama nchini Fnland  Baadhi ya majengokatikamji wakisasa wa Kalasatama nchini Fnland
Baadhi ya viongozi wa Tanzania walipotembelea kanisa lilijengwa kwa mbao katika jiji la Helsiniki nchini...

 

9 years ago

BBCSwahili

Viongozi wa kanisa walipora sadaka Singapore

Mahakama nchini Singapore imewapata na hatia ya ufisadi, viongozi sita wa kanisa kongwe na kubwa zaidi nchini humo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ziara ya Singapore yamzindua Simbachawene kupanga miji

NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene, amezitaka mamlaka zinazosimamia mipango miji nchini kuhakikisha kuwa sheria na taratibu zote za mipango miji zinafuatwa na kusimamiwa. Simbachawene...

 

10 years ago

Vijimambo

Ziara ya waziri wa Ardhi, Nyumba, Maendeleo ya makazi nchini Singapore

NHC1 Ujumbe wa Waziri wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi umemaliza ziara yake nchini Singapore huku ukiwa umejifunza mambo muhimu ikiwemo kuwepo utawala wa sheria katika usimamizi wa ardhi, kutokuwepo rushwa, nidhamu na uaminifu mkubwa wa watumishi wa umma, jamii inayopenda kujitegemea na usalama wa hali ya juu. Yafuatayo ni matukio ya ziara hiyo kwenye Mamlaka ya Uendelezaji wa Mji wa Singapore(URA) kama yalivyoratibiwa na Muungano Saguya. PICHANI JUU:...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Singapore

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvu akiwa na ujumbe watendaji wa NHC na Wizara yake amezuru Singapore na kutembelea Bodi ya Maendeleo ya Nyumba na Wizara ya Mambo ya Nje kuvutia uwekezaji Tanzania. Picha kamili na Muungano Saguya – Singapore.

luk1

Ujumbe wa Tanzania chini ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ukionyesha namna Serikali ya Singapore inavyoratibu upatikanaji wa nyumba kwa wananchi wake ulipotembelea Bodi ya Maendeleo ya Nyumba ya...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI NCHINI SINGAPORE‏

Ujumbe wa Tanzania chini ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ukionyesha namna Serikali ya Singapore inavyoratibu upatikanaji wa nyumba kwa wananchi wake ulipotembelea Bodi ya Maendeleo ya Nyumba ya Singapore jana.Jumla ya nyumba 900,000 zimeshajengwa na Bodi hii na kupatiwa wananchi kupitia ruzuku ya serikali na nyumba 50,000 zinapangishwa kwa wananchi kwa kodi isiyozidi asilimia 5. Taifa la Singapore lina watu...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa pamoja na viongozi wa elimu nchini wametembelea Singapore kujifunza jinsi nchi hiyo ilivyofanya mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu na mafunzo.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani