Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA ZA VIONGOZI WALIOKO SINGAPORE KWA MAFUNZO

 Picha ya pamoja ya viongozi waandamizi wa serikali ya Tanzania walioko nchini Singapore kwa mafunzo yaliyoandaliwa na taasisi ya Uongozi ya Tanzania. Picha hii imepigwa nje ya jengo la taasisi ya HYFLUX ya nchini Singapore, taasisi binaffsi inayojishughulisha na kusafisha maji ya baharini na maji machafu kwaajili ya matumizi ya majumbani. Singapore haina chanzo cha maji ya mito wala visima kwahiyo maji yake kwa matumizi ya majumbani huagizwa kutoka nchini Malayisia Nchi ya Singapore ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

PICHA ZIARA YA VIONGOZI WA TANZANIA SINGAPORE

 Kutoka kushoto ni mkurugenzi wa taasisi ya biashara ya kimataifa iliyo chini ya wizara ya viwanda na biashara Singapore, Rahul Ghosh akibadilishana mawazo na Denis Rweyemamu na Linda Manu kutoka taasisi ya Uongozi ya Tanzania ambayo ndiyo iliyoandaa ziara ya mafunzo kwa makatibu wakuu na vionzoi waandamizi wa serikali ya Tanzania nchini Singapore. Baadhi ya makatibu wakuu walioko kwenye ziara ya mafunzo nchini Singapore yaliyoandaliwa na taasisi ya uongozi Tanzania, kutoka kushoto ni...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa pamoja na viongozi wa elimu nchini wametembelea Singapore kujifunza jinsi nchi hiyo ilivyofanya mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu na mafunzo.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika ...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt Shukuru Kawambwa akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa pamoja na viongozi wa elimu nchini watembelea Singapore kujifunza jinsi nchi hiyo ilivyofanya mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu na mafunzo. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika kada ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Viongozi wa kanisa walipora sadaka Singapore

Mahakama nchini Singapore imewapata na hatia ya ufisadi, viongozi sita wa kanisa kongwe na kubwa zaidi nchini humo.

 

10 years ago

GPL

MBOWE AZINDUA PROGRAMU YA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA CHADEMA JIJINI DAR

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akiwasili katika Ukumbi wa PTA, Temeke jijini Dar kuzindua programu ya mafunzo kwa viongozi wa Chadema. Washiriki wa mafunzo ya timu za kampeni za uchaguzi mkuu kwa viongozi wa chama na serikali za mitaa wanaotokana na Chadema wakiwa tayari kuanza programu hiyo. Viongozi wa Chadema…

 

11 years ago

Dewji Blog

Jenista Muhagama afunga mafunzo ya siku 5 kwa viongozi wa CCM wilaya ya Ludewa

5

Mbunge wa Jimbo la Ludewa  Ndugu Deo Filikunjombe akizungumza na Viongozi wa CCM Wilaya ya Ludewa wakati wa kuhitimisha Semina ya Siku 5 ya Mafunzo kwa viongozi hao wa CCM iliyofanyika kwenye ukumbi wa Serengeti ,JB Belmont jijini Dar es Salaam. 1 Dk.Susan Kolimba akichangia mambo muhimu kwa viongozi wa CCM wilaya ya Ludewa wakati wa kuhitimisha mafunzo ya siku 5 kwa viongozi hao. 12 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mheshimiwa Jenista...

 

9 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YATOA MAFUNZO YA HAKI ZA BINADAMU NA KUWATAMBULISHA WASAIDIZI WA SHERIA KWA VIONGOZI WA DINI

 Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikhe Saleh Omar Kabii wakwanza kushoto akitoa maelezo juu ya haki za binaadamu  kwa mujibu wa Uislam wakati alipokuwa akifunguwa Mafunzo ya Haki za Binaadamu na kuwatambulisha wasaidizi wa Sheria kwa Viongozi wa Dini, katikati ni Mkurugenzi Mtendaji Harusi Miraji na mwisho Jina Mwinyi Waziri Afisa Mipango wa Kituo cha Huduma na Sheria. Baadhi ya washiriki wakisikiliza kwa makini maelezo kwa Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekhe Saleh Omar Kabii hayupo pichani katika...

 

10 years ago

Michuzi

Chuo Kikuu cha Uhio chaendesha mafunzo kwa vijana kuwa viongozi bora

Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
Chuo Kikuu cha Uhio nchini Marekani kinaendesha mafunzo kwa vijana ya kuwa viongozi bora katika nchi zilizopo katika jangwa la Sahara.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Katibu wa Kwanza wa Mawasiliano ya Umma wa Ubalozi wa Marekani nchini,Marissa Maurer amesema kuwa program ya kutoa mafunzo kwa viongozi vijana imaeazishwa na Chuo Kikuu Cha Uhio nchini Marekani  ambapo fedha inayoendesha mafunzo ni ya serikali ya watu Marekani...

 

5 years ago

BBCSwahili

Zoom yashtakiwa na Kanisa baada ya mafunzo ya bibilia kuvamiwa kwa picha za ngono dhidi ya watoto

Mvamizi adukua mkutano wa mafundisho ya bibilia na kuonyesha picha mbaya zinazoonyesha watoto wakinyanyaswa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani