Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZEE WA MIAKA 61 AKATWA SEHEMU ZAKE ZA SIRI ILEJE, MBEYA

Gari ya wagonjwa toka Ileje ikiingia Hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya. Majirani wakimuhudumia majeruhi ndani ya gari. Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la London Haonga(61) mkazi wa Kijiji cha Mapogolo Kata ya Mbebe Wilaya ya Ileje Mkoani Mbeya amejeruhiwa vibaya kwa kukatwa nyeti zake na watu watatu wasiofahamika kisha kutokomea nazo kusikojulikana. Tukio hilo limetokea majira ya… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mzee akatwa ‘nyeti’ Ileje

Mkazi wa Kijiji Mapogolo wilayani Ileje, London Haonga (61), amelazwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya watu wanaodaiwa kuwa watatu kumkata sehemu za siri usiku wa kuamkia juzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto mdogo auawa, akatwa sehemu za siri

>Watu saba wamefariki dunia katika matukio tofauti wakati wa   Sikukuu ya Krismasi mkoani Morogoro, akiwemo mtoto wa mwaka mmoja kuuawa na watu wasiofahamika kisha kukatwa sehemu zake za siri na mwili wake kutupwa pembezoni mwa Mto Morogoro.

 

10 years ago

Mwananchi

Achinjwa na anyofolewa sehemu zake za siri

Watu wasiofahamika wamemuua kwa kumkata mapanga na kisha kumnyofoa sehemu zake za siri mkazi wa Kijiji cha Kanegele, wilayani hapa, Mkoa wa Geita, Hollo Machibula (54).

 

9 years ago

Vijimambo

SIKU YA MWANAMKE WA ILEJE YAZINDULIWA RASMI MKOANI MBEYA

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Jannet Mbene akizungumza na Wanawake waliohudhuria sherehe za siku ya Mwanamke wa Ileje (Hawapo Pichani )katika ukumbi wa Mikutano CCM Wilayani humo.Picha Jamiimojablog Mbeya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene( katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Ileje Rosemary Senyamule kulia wakifurahi jambo katika sherehe hizo . Sherehe zikiendelea Na Jamiimojablog.
Naibu Waziri wa Viwanda an Biashara Janeth Mbene amezindua siku ya mwanamke wa Ileje ambayo...

 

9 years ago

Vijimambo

MBENE AENDELEA NA KAMPENI IMBO LA ILEJE MKOANI MBEYA

Mh Janet Mbene akicheza kwaya na wakazi wa Kata ya Kapelekesi wakati wa mikutano yake ya kampeni katika kata ya ilejeMh Janet Mbene mgombea Ubunge jimbo la Ileje akiasalimia na wakazi waisongole wakati akiwa njiani kuelekea kata za Bundari wakati wa kampeni za kugombea ubunge wa jimbo hilo.aliyekuwa mgombea ubunge katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi Marcelin Ndimbwa akimnadi mgombea ubunge wa ubunge wa ccm Janet Mbene

 

10 years ago

Michuzi

Vijana Halmashauri ya Wilaya ya Ileje Mkoa wa Mbeya wafaidika na Mkopo wa shilingi milioni 10

Katibu Tawala Wilaya ya Ileje Bw. Francis Mbenjile katikati akizungumza na ujumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni, na Michezo walipomtembelea ofisini kwake jana wakati wa ziara ya kuhamasisha vijana wa Ileje kuhusu Ujasiriamali, Ujuzi, Stadi za Maisha na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana Wilaya ya Ileje Mkoa wa Mbeya. Mwezeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Ester Riwa akitoa mada ya Stadi za Maisha kwa vijana wa Wilaya ya Ileje walioudhuria semina ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya Posta Tanzania, yasaidia shule za msingi wilayani Ileje mkoani Mbeya

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mmbene, (wapili kushoto), akipeana mikono na Meneja msaidizi wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, tawi la Tunduma, Teddy Msanzi, wakati wa hafla ya kukabidhi madawati yaliyotolewa kama msaada na benki hiyo, kusaidia shule mbili za msingi wilayani Ileje, mkoa wa Mbeya, hivi karibuni.

NA K-VIS MEDIA

Benki ya Posta Tanzania (TPB) kupitia tawi lake la Tunduma, imetoa msaada wa madawati 100 yenye thamani ya shilingi Milioni Tatu kwa shule mbili za...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani