Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nahreel aweka wazi sababu halisi ya kutengana na kundi la Pah One

pah-one

Wote tunafahamu kuwa Nahreel na Aika walitokea kwenye kundi la muziki la Pah One, na baada ya kujitoa ndio wakapata wazo la kuanzisha kundi lao wenyewe ambalo ndio Navy Kenzo.

Pah one
Pah One kabla ya kutengena

Baada ya kuanzisha Navy Kenzo, Nahreel na Aika ambao pia ni couple wamekuwa wakikutana na maswali mengi kuhusu kilichosababisha kuondoka Pah One, lakini hawakuwahi kuitaja sababu halisi.

Kupitia kipindi cha Mkasi, Nahreel ambaye ndiye alikuwa mgeni wa wiki hii alitumia muda huo pia kuitaja...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Jason Derulo aweka wazi sababu za yeye na Jordin Sparks kuachana

Couple ya waimbaji Jason Derulo na Jordin Sparks ndio iliyoonekana kuwashtua zaidi wengi baada ya taarifa za kuachana kwao kusambaa, na hii inatokana na kuwa hapakuwahi kusikika hata taarifa za ugomvi baina yao. Lakini Derulo ameweka wazi baadhi ya sababu za ndani zilizopelekea ‘mv mapenzi ‘ ya wawili hao kushindwa kuhimili mawimbi ya bahari ya […]

 

11 years ago

Mwananchi

Lowassa aweka wazi utajiri wake

>Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema madai kwamba yeye ni tajiri hayana ukweli wowote. Amesema yeye ni mfugaji na anamiliki ng’ombe zaidi ya 800 katika Jimbo la Monduli, mkoani Arusha.

 

11 years ago

Mwananchi

Kardinali Pengo aweka wazi msimamo wa Kanisa

Siku mbili baada ya Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kutoa waraka wa kulitaka Bunge Maalumu la Katiba kutopuuza mapendekezo ya muundo wa serikali tatu, Askofu Mkuu wa Jimbo Mkuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ameibuka na kusema msimamo huo siyo wa Kanisa Katoliki nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana aweka wazi sifa za watakaochaguliwa kuwania urais

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema, wagombea wa nafasi mbalimbali wasiona mvuto na kukubalika hawatoteuliwa na chama kuwania nafasi yoyote ikiwamo urais katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba.

 

9 years ago

Bongo5

Bushoke aweka wazi kuwa wimbo wa ‘Mume Bwege’alipewa na mtu

Bushoke ni miongoni mwa waimbaji na watumbuizaji wazuri waliowahi kukamata chati nyingi za muziki miaka kadhaa iliyopita kupitia hits zake mbalimbali ikiwemo ‘Mume Bwege’. Kitu ambacho huenda mashabiki wengi walikuwa hawakifahamu ni historia ya wimbo huo ambao mpaka leo Bushoke akiuimba kwenye matamasha huwa unapata shangwe nyingi sana. Bushoke amesema kuwa idea ya wimbo huo […]

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Aweka Wazi Jinsi Anavyompenda Mke Wake na Kuithamini Ndoa Yake

Mwigizaji na mwogozaji wa filamu za hapa bongo, Jacob Stephen ‘JB’ amefunguka ya moyoni  juu ya upendo wake kwa mke wake na kuendelea kudumisha ndoa yao.

JB tofauti na mastaa wengi wa hapa bongo, amemuweka na kumwambia waziwazi mke wake wa ndoa maneno  ya upendo ambayo huwafanya mashabiki wake wote kkujua na kumtambua shemeji yao au wifi yao.

JB leo hii ameweka picha hiyo mtandaoni akiwa na mke wake na kuandika maneno haya;

“Mke wangu,rafiki yangu, nampenda sanaa. Siku kama ya leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani