NAIBU IGP ABDURAHMAN KANIKI AWAFUNDA WAJENZI
![](http://2.bp.blogspot.com/-Yw0mNdL8no4/UynPlJWZ8TI/AAAAAAAFVAU/_gP20uVk0Cs/s72-c/unnamed+(33).jpg)
NAIBU Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Abdurahman Kaniki, ameipa changamoto bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), kuhakikisha majengo yanayojengwa nchini yanakuwa bora na salama kwa makazi ya watu na kuepusha majanga ya majengo kuporomoka kama ilivyowahi kutokea. Naibu IGP Alitoa changamoto hiyo jana jijini Mbeya wakati akifungua mkutano wa mashauriano baina ya maofisa wa Jeshi la Polisi, Ofisi ya Mwendesha Mashitaka Mkuu (DPP) na maofisa wa AQRB, kuhusu masuala...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
IGP Mangu awafunda Polisi
MAOFISA na askari Polisi nchini wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa kufuata misingi na maadili ya kazi ili kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP)...
10 years ago
MichuziNAIBU IGP AHIMIZA MAFUNZO KUUKABILI UHALIFU MPYA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCj2nd1xclbDU08LgSvsYBlXFiqG4y5omTOrDMv9BjrpUWXFHhG3YwxDEPgxEZIIFdrIV7OjkiaEDha3EL5-uT0L/1.jpg)
RAIS KIKWETE AMWAPISHA IGP MPYA NA NAIBU WAKE LEO IKULU
10 years ago
MichuziNAIBU IGP AWAJULIA HALI ASKARI WALIOJERUHIWA KATIKA TUKIO LA UVAMIZI KITUO STAKISHARI, UKONGA
11 years ago
Habarileo28 Apr
Polisi wapambana na wajenzi wa barabara
POLISI wamefyatua risasi za moto, kuwatawanya wafanyakazi wa kampuni ya Aaarsleef/Bam International, inayojenga barabara Laela-Sumbawanga kwa kiwango cha lami.
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Tunagombea fito wajenzi wa Muungano wamefariki
LAITI Watanzania wangejua kuwa Muungano haukupaswa kuwa na kero nyingi zinazoshindwa kupatiwa ufumbuzi wa haraka ndani ya miaka takriban 50 sasa, wangeacha tabia ya kupigana vijembe au kugombea fito huku...
11 years ago
TheCitizen09 Feb
To Mangu-Kaniki duo: Home must be safest