Naibu Kadhi awa Kaimu Mufti
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limemtangaza Naibu Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally kukaimu nafasi ya mufti na sheikh mkuu.Uteuzi huo unatokana na kifo cha Mufti Issa Shaaban Bin Simba siku saba zilizopita.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Feb
Mufti Z’bar afunguka Mahakama ya Kadhi
10 years ago
TheCitizen11 Feb
Z’bar Mufti’s office wants Kadhi Court
10 years ago
CloudsFM25 Jun
Kaimu Mufti akutana na rais Kikwete ikulu.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imebanisha kuwa sheikh...
10 years ago
GPLSHEIKH ABUBAKARI BIN ALLY ATEULIWA KAIMU MUFTI
10 years ago
CloudsFM23 Jun
Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally achaguliwa kuwa Kaimu Mufti.
Uteuzi huo unatokana na kifo cha Mufti Issa Shaaban Bin Simba siku saba zilizopita.
Akizungumza jana na waandishi wa habari, katibu mkuu wa Bakwata, Suleiman Lolila alisema uchaguzi wa kumpata kaimu mufti ulifanywa kwa siku saba tangu kufariki kwa Mufti Simba.
Mufti Simba alifariki dunia Juni 15, mwaka huu katika hospitali ya TMJ jijini...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Dewji Blog25 Jun
Rais Kikwete akutana na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu Jijini Dar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu jijini Dar es salaam jana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila Ikulu jijini Dar es salaam.


10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AKUTANA NA KAIMU MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ABUBAKAR ZUBEIRY IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO




11 years ago
Habarileo02 Aug
Mwanyemba awa naibu meya
DIWANI wa Kata ya Viwandani Jaffari Mwanyemba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amechaguliwa kuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Dodoma.