Naibu Waziri Shonza:Wizara ipo tayari kumpa ushirikiano Chidbenz
Na Anitha Jonas – WHUSM
Naibu Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza amwaahidi ushirikiano msanii wa bongofleva nchini Rashid Abdallah maarufu Chidbenz.
Mheshimiwa Shonza ametoa kauli hiyo leo jijini Dodoma alipofanya kikao na msanii huyo ambapo Chid benz alimuhakikishia kuwa kwa sasa amebadilika na anataka kuwaonyesha watanzania amefanikiwa kujikwamua katika matumizi ya madawa ya kulevya na hataki tena kurudi huko kwani anazaidi ya miezi mitatu sasa hajatumia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WIZARA YA USHIRIKIANO ATEMBELEA MELI YA RV JUMUIYA JIJINI MWANZA
10 years ago
MichuziNaibu Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki akagua miradi ya maendeleo inayosimamiwa na Mradi wa Kuifadhi Mazingira wa Ziwa Victoria LVEMP II
Akiwahutubia Wananchi wa kijiji cha Kilulu nje kidogo ya mji wa Bariadi Mkoani Simiyu Mhe. Juma alisema ikiwa ni ahadi yake ya kuzindua mashine hiyo lakini ameshindwa kufanya hivyo baada ya kutokeza kasoro za kiufundi na ya...
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI SHONZA ATOA VIFAA VYA SHILINGI MILIONI 10 SONGWE
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Daniel Shonza mapema leo akiwa na mtoto mwenye ulemavu Mary Mwakanyamale ambaye amempatia kiti maalumu cha watu wenye Ulemavu, Naibu Waziri Shonza ametoa vifaa mbalimbali vya michezo, Elimu na Walemavu vyenye thamani ya shilingi milioni 10,325,000 kwa Mkoa wa Songwe.Naibu Waziri Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Daniel Shonza mapema leo akimkabidhi Kompyuta Mkuu wa Shule ya...
5 years ago
MichuziNaibu Waziri Shonza:Filamu ya Dalton ni inafaa kwa vipindi vya watoto
Naibu Waziri Mhe.Juliana Shonza (katikati)akifungua CD ya Filamu ya Dalton kuashiria uzinduzi wa filamu hiyo leo jijini Mwanza,wakwanza kulia ni Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Jonas Maduhu na kushoto ni Mtayarishaji wa Filamu hiyo Bw.Cherrif Daudi.
Naibu Waziri Mhe.Juliana Shonza akisisitiza kusambazwa kwa filamu ya Dalton katika vituo vya televisheni mbalimbali nchini ikiwemo TBC ili filamu hiyo itumike kutoa elimu kwa watoto ionyeshwe katika vipindi vya watoto,leo jijini Mwanza alipokuwa...
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI SHONZA AIPA MWEZI MMOJA KAMPUNI YA BENCMARK 360 LTD KUMLIPA MSHINDI WA MASHINDANO YA BSS 2019
Meshack aliibuka mshindi kwenye mashindano hayo yaliyofanyika mwishoni mwa mwaka jana ambapo kampuni ya...
9 years ago
Michuzi14 Dec
WAZIRI KITWANGA, NAIBU WAZIRI WA USALAMA WA RAIA WA CHINA WASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO
10 years ago
Vijimambo08 Jan
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akutana na Balozi wa Syria
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt. Maadhi Juma Maalimu (Mb) akimkaribisha Balozi wa Syria Nchini Mhe. Abdulmonem Annan, alipokuja kumtembelea na kumweleza kuhusu hali ya kisiasa inavyoendelea nchini Syria Balozi Abdulmonem Annan akizungumza na Mhe. Maadhi Juma Maalim Mazungumzo yakiendelea. Picha na Reginald Philip