Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Naibu Waziri Shonza:Filamu ya Dalton ni inafaa kwa vipindi vya watoto


Naibu Waziri Mhe.Juliana Shonza (katikati)akifungua CD ya Filamu ya Dalton kuashiria uzinduzi wa filamu hiyo leo jijini Mwanza,wakwanza kulia ni Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Jonas Maduhu na kushoto ni Mtayarishaji wa Filamu hiyo Bw.Cherrif Daudi.
Naibu Waziri Mhe.Juliana Shonza akisisitiza kusambazwa kwa filamu ya Dalton katika vituo vya televisheni mbalimbali nchini ikiwemo TBC ili filamu hiyo itumike kutoa elimu kwa watoto ionyeshwe katika vipindi vya watoto,leo jijini Mwanza alipokuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI SHONZA ATOA VIFAA VYA SHILINGI MILIONI 10 SONGWE


Naibu Waziri Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Daniel Shonza mapema leo akiwa na mtoto mwenye ulemavu Mary Mwakanyamale ambaye amempatia kiti maalumu cha watu wenye Ulemavu, Naibu Waziri Shonza ametoa vifaa mbalimbali vya michezo, Elimu na Walemavu vyenye thamani ya shilingi milioni 10,325,000 kwa Mkoa wa Songwe.Naibu Waziri Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Daniel Shonza mapema leo akimkabidhi Kompyuta Mkuu wa Shule ya...

 

5 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Shonza:Wizara ipo tayari kumpa ushirikiano Chidbenz

Na Anitha Jonas – WHUSM
Naibu Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza amwaahidi ushirikiano msanii wa bongofleva nchini Rashid Abdallah maarufu Chidbenz.
Mheshimiwa Shonza ametoa kauli hiyo leo jijini Dodoma alipofanya kikao na msanii huyo ambapo Chid benz alimuhakikishia kuwa kwa sasa  amebadilika na anataka kuwaonyesha watanzania amefanikiwa kujikwamua katika matumizi ya madawa ya kulevya na hataki tena kurudi huko kwani anazaidi ya miezi mitatu sasa hajatumia...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA AZINDUA MKAKATI WA USAJILI NA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA KWA WATOTO WA MWANZA

Naibu Waziri wa Katiba na sheria Mhe Ummy A. Mwalimu akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mkakati wa Usajili na kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto wenye Umri Chini ya Miaka Mitano wa Mkoa wa Mwanza. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu akihutubia Viongozi mbalimbali wa Serikali, Vyama vya Siasa na wananchi wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa Usajili na kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto wenye Umri chini ya Miaka Mitano Mkoa wa Mwanza. Mkakati unalenga kusogeza huduma za ...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI SHONZA AIPA MWEZI MMOJA KAMPUNI YA BENCMARK 360 LTD KUMLIPA MSHINDI WA MASHINDANO YA BSS 2019

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 08/04/2020 ofisini kwake jijini Dodoma ambapo ameitaka kampuni ya Benchmark 360 Ltd ambao ni waandaji wa mashindano ya kutafuta vipaji vya muziki ya Bongo Star Search (BSS) kumlipa mshindi wa mashindano ya BSS 2019 Ndg. Meshack Fukuta ndani ya mwezi mmoja kuanzia leo.

Meshack aliibuka mshindi kwenye mashindano hayo yaliyofanyika mwishoni mwa mwaka jana ambapo kampuni ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Demo Lovato kutoka katika vipindi vya watoto hadi jaji X Factor

“Siyo kazi rahisi kwa mwanamuziki aliyeingia kwenye fani muda mfupi kama mimi kukaa meza moja na kufanya kazi moja ya kuhukumu na kuamua na wanamuziki wakongwe kama Simon Cowell, Music L.A. Reid na mkali wa miondoko ya pop Britney Spears,” hayo ni maneno ya mwanamuziki kinda Demo Lovato, ambaye alishiriki mwaka huu katika shindano la muziki maarufu nchini Marekani la The X Factor.

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dk. Pindi H. Chana afungua kikao cha baraza la watoto dodoma

 Wajumbe wa Kamati Kuu wa Baraza la Watoto wakijadili baadhi ya mambo yanayowahusu watoto pamoja na changamoto zinazo wakabili katika kikao cha Kamati Kuu ya Baraza la Watoto kilichofunguliwa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dk. Pindi H. Chana mjini Dodoma.

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dk. Pindi H. Chana na viongozi wengine akimsikiliza  Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Ameir Haji Khamis  Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani