Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na CEO wa Standard Chartered nchini
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akimkaribisha Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini Bi. Liz Lloyd alipomtembelea Wizarani kwa ajili ya mazungumzo na Mhe. Maalim. Mhe. Maalim akimtambulisha kwa Bi. Llyoid Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya. Mhe. Dkt. Maalim akizungumza na Bi. Lloyd Ujumbe alioambatana nao Bi. Lloyd wakifuatilia mazungumzo. Bi. Lloyd nae alipata...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (Mb.) akisalimiana na Balozi wa Kuwait hapa nchini, Mhe. Nassem Ibrahim Al Najib alipofika Wizarani kwa ajili ya kuwasilisha salamu za pongezi kwa Mhe. Dkt. Kolimba kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait. Mhe. Balozi Al Najib akimkabidhi Mhe. Dkt. Kolimba salamu za pongezi kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait. Mhe. Dkt. Kolimba nae akimshukuru Balozi Al...
11 years ago
MichuziWAZIRI MEMBE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UTURUKI
10 years ago
MichuziKatibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Mwakilishi wa IFAD nchini
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI MAMBO YA NJE NCHINI CHINA AFAFANUA SABABU ZA KUBAGULIWA KWA BAADHI YA WAAFRIKA NCHINI HUMO
Mabalozi wa Nchi za Afrika wamekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China China Mhe. CHEN Xiaoding kuzungumzia changamoto zinazowakabili baadhi ya raia wa Mataifa ya Afrika katika Mji wa Guangzhou uliopo katika Jimbo la Guangdong.
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
NAIBU Waziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya watu wa China Chen Xiaoding amekutana na mabalozi wa nchi za Afrika akiwemo balozi wa Tanzania nchini humo Mbelwa Kairuki na kufafanua taarifa na changamoto...
11 years ago
MichuziWaziri Mkuu,Mizengo Pinda akutana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA JAMHURI YA KOREA,PIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA UCHUKUZI WA BURUNDI
10 years ago
Vijimambo08 Jan
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akutana na Balozi wa Syria
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt. Maadhi Juma Maalimu (Mb) akimkaribisha Balozi wa Syria Nchini Mhe. Abdulmonem Annan, alipokuja kumtembelea na kumweleza kuhusu hali ya kisiasa inavyoendelea nchini Syria Balozi Abdulmonem Annan akizungumza na Mhe. Maadhi Juma Maalim Mazungumzo yakiendelea. Picha na Reginald Philip
10 years ago
MichuziNews Alert: membe akutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi jijini Dar es salaam leo
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA VIETNAM ZIARANI NCHINI
Mhe. Dkt. Maalim na Mhe. Nguyen wakizungumza huku Balozi wa Vietnam nchini, Mhe. Vo Thanh Nam (kushoto), Bw. Nathaniel Kaaya (kulia), Mkurugenzi Msaidizi katika Idara ya...