Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ziarani nchini Singapore
Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (wa tatu kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mawaziri saba wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara wakiwa na mwenyeji wa Mkutano huo Waziri wa Mambo ya Nje wa Singapore Mhe. Kasiviswanathan Shanmugam (wa tano kutoka kushoto). Mawaziri wa Mambo ya Nje wakiwa kwenye ziara kwenye mojawapo ya vyuo maalum nchini humo Institute of Technical Education ambapo Tanzania inashirikiana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi06 Jun
WAZIRI MWANDAMIZI WA MAMBO YA NJE NA NDANI WA SINGAPORE ZIARANI NCHINI
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA VIETNAM ZIARANI NCHINI
Mhe. Dkt. Maalim na Mhe. Nguyen wakizungumza huku Balozi wa Vietnam nchini, Mhe. Vo Thanh Nam (kushoto), Bw. Nathaniel Kaaya (kulia), Mkurugenzi Msaidizi katika Idara ya...
11 years ago
Michuzi30 May
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ziarani nchini
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI MAMBO YA NJE NCHINI CHINA AFAFANUA SABABU ZA KUBAGULIWA KWA BAADHI YA WAAFRIKA NCHINI HUMO
Mabalozi wa Nchi za Afrika wamekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China China Mhe. CHEN Xiaoding kuzungumzia changamoto zinazowakabili baadhi ya raia wa Mataifa ya Afrika katika Mji wa Guangzhou uliopo katika Jimbo la Guangdong.
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
NAIBU Waziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya watu wa China Chen Xiaoding amekutana na mabalozi wa nchi za Afrika akiwemo balozi wa Tanzania nchini humo Mbelwa Kairuki na kufafanua taarifa na changamoto...
10 years ago
Vijimambo24 Apr
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje amuaga Mwakilishi wa FAO nchini
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UFARANSA
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (Mb.) akisalimiana na Balozi wa Kuwait hapa nchini, Mhe. Nassem Ibrahim Al Najib alipofika Wizarani kwa ajili ya kuwasilisha salamu za pongezi kwa Mhe. Dkt. Kolimba kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait. Mhe. Balozi Al Najib akimkabidhi Mhe. Dkt. Kolimba salamu za pongezi kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait. Mhe. Dkt. Kolimba nae akimshukuru Balozi Al...
10 years ago
MichuziKatibu Mkuu wa Mambo ya Nje azungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani
10 years ago
Vijimambo24 Apr
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na CEO wa Standard Chartered nchini