Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nani anaharibu huduma Hospitali ya rufaa Mbeya?

>Mwaka jana, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid akiwa na wadhifa wa naibu waziri kwenye wizara hiyo, alitembelea mkoa wa Mbeya ambako alizungumza na Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa Mbeya (MRH).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAUGUZI HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA WATOA ZAWADI YA CHEREHANI KWA HOSPITALI

 Baadhi ya picha za wauguzi katika maadhimisho ya Siku ya wauguzi Duniani .
Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya wametoa zawadi  ya Cherehani ikiwa ni kuadhimisha siku ya  wauguzi Duniani.

Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya,  leo wamekabidhi zawadi ya mashine ya cherehani  yenye thamani ya shilingi 1,500,000/= MZRH ikiwa ni mchango wao wa alama ya upendo katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wauguzi duniani.

Akizungumza katika makabidhiano hayo Mwenyekiti wa  Chama cha...

 

11 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC YAZINDUA HUDUMA YA UPASUAJI KWA NJIA YA DARUBINI

 Madaktari bingwa wakifanya upasuaji kwa njia ya darubini ikiwa ni teknolojia mpya kufanyika katika Hospitali ya rufaa ya KCMC, Teknolojia hiyo inadaiwa kuokoa muda na gharama za upasuaji pamoja na kupunguza vifo.  Madaktari KCMC wakimfanyia mgonjwa upasuaji kwa kutumia Teknolojia mpya Darubini.  Dkt. Kondo Chilonga akiongoza madaktari wenzake kumfanyia mgonjwa upasuaji kwa kutumia teknolojia mpya ya Darubini ambayo inaruhusu upasuaji kufanyika bila ya kuchana ngozi.  Zoezi linaendelea...

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi wa mkoa wa Shinyanga wafurahishwa na huduma za matibabu ya madaktari bingwa katika Hospitali ya Rufaa

Wananchi wa mkoa wa Shinyanga wameelezea kufurahishwa kwao na huduma za matibabu zinazotolewa na madaktari bingwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo.
Wakizungumza na mwandishi wetu aliyetembelea katika hospitali hiyo, mmoja wa wazee waliopata huduma ya matibabu ya ugonjwa wa moyo Bi. Salu Shinge amesema amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya moyo kwa muda mrefu lakini baada ya kuonana na Daktari bingwa siku ya Jumatatu na kuanza kutumia dawa, hali yake imbadilika na kwamba anajisikia...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Ummy Mwalimu avamia Hospitali ya rufaa ya Bombo mkoani Tanga, kukagua utoaji wa huduma za afya leo

IMG-20151220-WA0011

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na mmoja wa wahudumu wa afya (jina lake halikuweza kupatikana kiurahisi) wa dirisha la dawa katika Hospitali ya rufaa ya Bombo mkoani Tanga alipofanya ziara ya kushtukiza mchana wa leo Disemba 20, 2015.

-Atoa wiki mbili wawe wamefunga mashine ya kukusanya mapato kwa njia ya Kielektroniki ili kudhitibiti upotevu wa mapato yanayotokana na wananchi kuchangia huduma za afya.

IMG-20151220-WA0012

Waziri wa Afya, Maendeleo ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU KATIKA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA YA BOMBO MKOANI TANGA, KUKAGUA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA LEO

IMG-20151220-WA0012Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na mmoja wa wakina mama anayemhudumia mwanae katika wodi ya watoto Hospitali ya rufaa ya Bombo mkoani Tanga alipofanya ziara ya kushtukiza leo mchana Disemba 20, 2015.IMG-20151220-WA0019Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akimsikiliza mmoja wa akina mama aliyelazwa kwenye wodi ya wazazi wakati wa ziara ya kushtikiza aliyoifanya mchana wa leo Desemba 20, 2015 katika Hospitali ...

 

10 years ago

Habarileo

Hospitali za rufaa mikoa 25 kuboreshwa

Waziri wa Afya, Dk Seif Rashid.HOSPITALI 26 za rufaa katika mikoa 25 nchini, zitafanyiwa maboresho ili zitoe huduma bora za afya kupitia mradi wa Japan International Co-operative Agency (JICA) kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.

 

11 years ago

Michuzi

MTWARA KUJIVUNIA HOSPITALI YA RUFAA

 Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Mtwara, Ligula, Dkt. Shaibu Maarifa (katikati) akizungumza na Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilimpotembelea Ofisini kwake. Kushoto ni viongozi wa Timu hiyo, Prof. Longinus Rutasitara (Kushoto) na Bibi Florence Mwanri (Wapili kulia).  Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Mtwara, Ligula, Dkt. Shaibu Maarifa akisisitiza jambo wakati wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango...

 

5 years ago

Michuzi

TAMKO LA TUME KUHUSU HOSPITALI YA RUFAA MWANANYAMALA.


Kusikitishwa na taarifa ya vitendo vya baadhi ya Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mwananyamala kuwanyanyapaa na kuwasumbua Wagonjwa
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesikitishwa na taarifa ya vitendo vinavyofanywa na baadhi ya Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mwananyamala vya kuwanyanyapaa na kuwasumbua wagonjwa wanaoenda kupata matibabu kwa kuwataka wagonjwa hao kwenda kufanya vipimo vya Korona kabla ya kuanza kupata matibabu.
Tume...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani