Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NANI ATABADILI MIOYO YETU?

NIMSHUKURU sana Mungu, mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kukutana tena leo, wakati mamia ya ndugu zetu wakiwa mahospitalini wakishindana na vifo, lakini sisi tu wazima. Kama ninavyosisitiza wakati wote, hatuko hivi tulivyo kwa sababu ya ujanja wetu, bali uhai na uzima wetu upo mikononi mwake yeye aliye juu. Kuna baadhi ya vitu vinatokea katika jamii yetu ambavyo ni vigumu sana kuamini kama kweli sisi tunaishi hivi kwa sababu ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RUSHWA NI TATIZO SUGU KATIKA NCHI YETU, NANI ATAWEZA KUIONDOA?

MWANDISHI Eric Shigongo
KATIKA kumuenzi Mungu, kila mtu ambaye leo afya yake ni nzuri hana budi kumshukuru na kumtukuza huku akimuomba awaponye wale wote walio katika magonjwa.

Baada ya kusema hayo nianze kwa kusema kuwa katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi, baadhi ya matawi wanachama wake wamelalamikia rushwa kwamba waliwapigia kura watu waliokuwa wanapenda kuwaongoza lakini kura zao zikachakachuliwa.

Nilisimuliwa kuhusu tawi moja eti waliochaguliwa waliiba kura na matokeo yakatajwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Rasimu ya Katiba inataja Tunu za Taifa: Ni nani kati yetu anayezijua!

NImeamua leo nianze kwa kueleza kitu kinachoitwa tunu. Tunaambiwa na wataalamu wa Kiswahili kuwa tunu ni kitu anachopewa mtu na mwingine kuwa ni ishara ya mapenzi, hidaya, zawadi, adia, hiba, azizi.

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA TUTAMBUE AMANI YETU NI FAHARI YETU.

 Msajili wa Vyama vya  Siasa Jaji Francis Mutungi  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya   utofauti wa itikadi wa vyama ndiyo ukomavu wa demokrasia nchini hivyo ni jambo la busara kuvumiliana na kufanya siasa za kistaarabu, ameyasema hayo wakati  wa  kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam kulia ni Balozi wa Amani Mrisho Mpoto na kushoto ni Balozi wa Amani Christina Shusho. Balozi wa Amani Mrisho Mpoto akifafanua jambo katika kikao hicho leo jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

MITANDAO YA KIJAMII INAVYOWAUMIZA MIOYO WAPENDANAO

NiJumatatu nyingine ninapokukaribisha mpenzi msomaji wa kona hii nzuri, mahali tunapoelekezana mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Leo napenda tujadiliane kuhusu mada hii kama inavyojieleza hapo juu.Sayansi na teknolojia vinaifanya dunia iende kasi sana, mfumo wa maisha unabadilika haraka kuliko wakati mwingine wowote, dunia sasa inaunganishwa na kuwa kama kijiji kutokana na matumizi ya intaneti na mitandao ya...

 

10 years ago

GPL

MASTAA HAWA WAMECHEZEA MIOYO YAO!

Wema Sepetu na Diamond. MAPENZI ni kizunguzungu! Msemo huu umetimia kwa baadhi ya mastaa waliokuwa na uhusiano ambao ulivuma kwenye vyombo mbalimbali vya habari na hawakukauka midomoni mwa watu. Katika uhusiano huo wa kimapenzi wapo ambao walikuwa wanafurahishwa na ‘kapo’ za mastaa hao kutokana na jinsi walivyokuwa wakiendana lakini waliishia kuanguka kwenye dhambi ya uzinzi na wengine kuzaa kisha kuachana solemba,...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA PASAKA LAKONGA MIOYO YA MASHABIKI MJINI SHINYANGA‏

Mwimbaji Rose Muhando akicheza na watoto wakati alipokuwa akiimba katika Tamasha la Pasaka mjini Shinyanga jana. Mwimbaji wa muziki wa injili Upendo Kilahiro akiimba jukwaani huku akipigwa tafu na waimbaji wenzake wa muziki wa injili kutoka kushoto ni Grace Mwikwabe, Tumaini Njole, Faraja Ntaboba kutoka nchini…

 

10 years ago

Vijimambo

YAMOTO BAND WAKONGA MIOYO YA MASHABI WAO WA TABATA NA VITONGOJI VYAKE.

Vijana wa Yamoto Band waikonga mioyo ya mashabiki wao wa Tabata kwa kupiga show kali sana ndani ya Dar West ikiwa ni wiki moja tu imepita tangu warejee kutoka UK Londoni ambako walikuwa na Ziara.
Hizi ni Picha za Show Nzima iliyofanyika jana Tabata.PICHA ZOTE NA www.harakatizabongo.comKayumba ni Zao kutoka Mkubwa na Wanawe akifungua show kwa kuimba kabla ya Vijana wa Yamoto Band.Mwanadada Marope kutoka Mkubwa na wanawe akitoa Burudani katika Ukumbi wa Dar west Tabata jana.Anaitwa Adamu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Msajili wa Vyama vya Siasa: Mrisho Mpoto na Christina Shusho kuwa mabalozi wa kubeba ujumbe wetu wa amani wa “AMANI YETU FAHARI YETU”

DSC_3048

Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi  (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mapema leo Oktoba 12 juu ya kuhamasisha Amani pamoja na kuwatangaza rasmi wasanii Mrisho Mpoto (kulia)  na Christine Shusho (kushoto) kuwa mabalozi wa amani wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa  katika kipindi hiki cha Uchaguzi mkuu, huku wakibeba ujumbe wa  “AMANI YETU FAHARI YETU”. (Picha zote na Andrew Chale wa Modewjiblog).

DSC_3062

DSC_3072

DSC_3070

Picha tatu za Jaji Mutungi zikionyesha msisitizo wa suala la Amani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani