RUSHWA NI TATIZO SUGU KATIKA NCHI YETU, NANI ATAWEZA KUIONDOA?
MWANDISHI Eric Shigongo
KATIKA kumuenzi Mungu, kila mtu ambaye leo afya yake ni nzuri hana budi kumshukuru na kumtukuza huku akimuomba awaponye wale wote walio katika magonjwa.
Baada ya kusema hayo nianze kwa kusema kuwa katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi, baadhi ya matawi wanachama wake wamelalamikia rushwa kwamba waliwapigia kura watu waliokuwa wanapenda kuwaongoza lakini kura zao zikachakachuliwa.
Nilisimuliwa kuhusu tawi moja eti waliochaguliwa waliiba kura na matokeo yakatajwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 Nov
Sera madhubuti kuiondoa nchi katika umasikini
SERIKALI imetakiwa kutunga sera madhubuti za matumizi ya rasilimali ili kuondokana na tatizo la umasikini kwa lengo la kuinua uchumi wa nchi ili kufikia maendeleo ya milenia kama ilivyopangwa.
10 years ago
Tanzania Daima09 Dec
Tusipokemea rushwa tutaiangamiza nchi yetu
TANZANIA hivi sasa inakabiliwa na rushwa, ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka ambayo kwa kiasi kikubwa yamechangia kusuasua kwa maendeleo. Baaadhi ya Watanzania wenzetu wamekuwa na tabia ya kuwakejeli viongozi...
10 years ago
Vijimambo17 May
NesiWangu: JE WAJUA ANEMIA NI TATIZO SUGU KATIKA JAMII.

10 years ago
Zitto Kabwe, MB06 Jan
Azimio la Mtwara -Uwajibikaji katika Uvunaji wa Maliasili ya Nchi yetu
Azimio la Mtwara
Uwajibikaji katika Uvunaji wa Maliasili ya Nchi yetu.

“Azimio la Mtwara” tarehe 31-12-2014 Zitto Kabwe na Prof. Ibrahim Lipumba
Tanzania kama zilivyo nchi nyingi za bara la Afrika imejaaliwa kuwa na Rasilimali mbali mbali za asili. Miongoni mwa rasilimali hizo ni pamoja na Madini na Gesi Asilia. Usimamizi wa uvunaji wa rasilimali hizi umegubikwa na manung’uniko makubwa ya wananchi hususan kutokana na usiri mkubwa uliopo kwenye mikataba ya uvunaji wa Maliasili hizi za Taifa....
10 years ago
Michuzi11 Apr
TATIZO LA RUSHWA YA NGONO BADO NI TATIZO TANZANIA.

10 years ago
GPLVIONGOZI MBALIMBALI WAJITOKEZA KATIKA MKUTANO WA MASHAURIANO KUHUSU AMANI, UMOJA NA UTULIVU WA NCHI YETU
10 years ago
Mwananchi18 Jun
Hizi ndizo ndoto za waowania urais za kuiondoa nchi kwenye umaskini
9 years ago
Mwananchi05 Jan
NANI NI NANI SERIKALI YA JPM: George Simbachawene, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tamisemi
10 years ago
GPLFOLENI JIJINI DAR, TATIZO SUGU!