Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NANI NA NINI KINATANGULIA KATIKA UHUSIANO?

MAISHA ya kimapenzi, hasa katika nchi masikini kama Tanzania, yamebadili uelekeo na kuonekana kama ni kitu kinachotanguliza masilahi badala ya upendo kama ilivyokuwa enzi za mababu zetu.
Enjo, kama alivyojitambulisha kwangu hivi karibuni, anasimulia kisa cha kusisimua. “Nilikutana naye kwenye daladala, baada ya kunisalimia tukapiga stori hadi alipokaribia kushuka katika kituo chake, akaniomba namba ya simu. Kwa kuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWANAMKE,MWANAUME, NANI ANAONGOZA KUTOA SIRI ZA UHUSIANO?

NIJumanne tena, safu hii ya maisha na mapenzi ipo kukuelimisha na kukupa maujuzi ili ikibidi siku moja msomaji wangu ubadilike. Wiki iliyopita tulimalizia mada yetu ya; Unaachana naye unachukua kila kitu ulichomnunulia. Wiki hii tuna mada nyingine ndiyo hiyo hapo juu; mwanamke na mwanaume katika uhusiano nani anaongoza kwa kutoa siri nje? Au kufanya umbeya.
Nilibahatika kuzungumza na jinsia zote kuhusu mada yetu wakati...

 

9 years ago

GPL

KWA NINI MITANDAO IVURUGE NDOA UHUSIANO WAKO?

NI Jumatatu nyingine murua Mungu anatukutanisha tena kwa neema zake katika kilinge chetu cha XXLove kujuzana kuhusu maisha ya uhusiano.Wiki iliyopita tulijadili namna ambavyo huwezi kuyaepuka mapenzi kwa sababu ya maumivu uliyowahi kuyapata au unayapata ila utapumzika kwa muda tu. Leo nakukaribisha kwenye mada tamu inayohusu matumizi na mapokeo mabovu ya mitandao ya kijamii kama mada inavyojieleza.Kumekuwa na wimbi kubwa la watu...

 

10 years ago

GPL

KABLA YA KUANZISHA UHUSIANO MPYA, JIULIZE KWA NINI UMEACHWA?

Tumshukuru sana Mungu kwa kutujalia afya njema na kutukutanisha tena hapa kwenye XXLove kujadili na kupeana elimu ya uhusiano. Wiki iliyopita tulijadili kuhusu kuachana na kuanza kuchukiana au kuwekeana visasi. Mada ya leo inahusu kukurupuka na kuanzisha uhusiano mpya baada ya kuachwa.Si jambo jema, unapaswa kujiuliza umeachwa kwa sababu gani? Ili hata kama ukiamua kuanzisha uhusiano mpya ujue ni mpenzi wa aina gani anakufaa?...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uhusiano kati ya Korea Kusini na Kaskazini: Nini chanzo cha Uhasama uliopo kati ya mataifa haya

Miezi ya hivi karibuni , kumekuwa na uvumi kuhusu hali ya uchumi na afya kutokana na virusi vya corona, licha ya kwamba Korea Kaskazini ilithibitisha kuwa hakuna maambukizi ya corona.

 

11 years ago

Mwananchi

Muungano na Utanzania wetu ni kipi kinatangulia-2

Kama tulivyoona wiki iliyopita, yapo maswali ya kujiuliza kuhusu dhana hizi mbili, lakini mfano mwingine ni kwamba mtu aliyeelimika ni yule anayetambua kwamba wapendanao ni kivuli cha upendo.

 

10 years ago

Mwananchi

Aina tano za kuachana katika uhusiano

1. Kuchemka hadi kumwagika “The Boil Over” Katika hali hii unaanza kuziona dalili za kuachana kwenu kwa mbali. Labda mwenzako amekuwa akifanya au kusema vitu fulani kwa muda mrefu na vimekuwa havikufurahishi, kila unapotaka kumpasukia kuna kitu kinakwambia “subiri, mpe nafasi nyingine”, ndani yako unajiona kabisa kuwa wakati umewadia sasa wa kumpasha habari yake kwa mara ya kwanza na ya mwisho.

 

10 years ago

GPL

JE, KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA TUMBO KUJAA GESI NA MIUNGURUMO KWA MWANAUME KATIKA TENDO LA NDOA?

Watu wengi wamekuwa wakiwasiliana nasi wakihusisha haya mambo mawili hasa wanaume pasipo kujua kama yanahusiana kwa ukaribu au laa. Na kwa maana hiyo, leo watu wengi wataweza kujua uhusiano wa haya mambo mawili yaani miungurumo ya tumbo, tumbo kujaa gesi na miungurumo ya hapa na pale katika kushiriki tendo la ndoa au kupungukiwa na nguvu katika kushiriki tendo la ndoa. Tatizo hili kitaalamu huitwa constipation, yaani mtu kuwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni nani anayesema uongo katika hili la TCD?

Kwa siku ya kumi kufikia leo Watanzania wengi tuko gizani, hatuelewi nini yalikuwa makubaliano kati ya viongozi wa kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) na Rais Jakaya Kikwete kuhusu Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Usiri katika mikataba ni kwa faida ya nani?

Licha ya Serikali kueleza kwamba katika suala la maendeleo ni lazima wananchi washirikishwe kuanzia ngazi ya chini, bado jambo hilo limebaki kuwa hadithi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani