Nani Wakufanya Mapinduzi ya Filamu Kama Sio…
TUSIMAME TASNIA ISIMAME
Naifahamike wazi kuwa Tasnia ya filamu inakufa, na hatuwezi kuendelea kulalamika kuwa tasnia ya filamu inakufa huku kila mmoja akiweka bawa lake pembeni, hatuwezi kukaa chini na kulia tu kwani machozi hayajawahi kuzima moto unaounguza nyumba bali walioacha kulia ndio huzima moto.
Si kama Watanzania hawawezi kutengeneza Filamu kubwa za Kimataifa ila Tuna matatizo sugu yanayotafuna Tasnia miaka na Miaka.
Ikiwemo matatizo ya soko, elimu ya Sanaa, uwekezaji katika...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
NANI KAMA BABA....???


10 years ago
Michuzi
NANI KUIBUKA KINARA WA TUZO ZA FILAMU TANZANIA!


9 years ago
Bongo518 Dec
Video: Tazama filamu fupi ya Kiswahili ‘Nani?’

Hii ni filamu fupi ya Kiswahili iitwayo Nani? iliyoongozwa na kutayarishwa na Hefemi. Jionee.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo Movies10 Dec
MJADALA: Mapinduzi ya Tasnia ya Filamu Nchini Tanzania
ZAMARADI MKETEMA ameandika sehemu....
“…Natamani sana siku moja atokee mtu kwenye hii sekta atutambulishe hata kama sio kimataifa basi africa tu. R.I.P KANUMBA alianza kuonesha mwangaza na juhudi binafsi zilionekana na kila mtu aliona huenda angefika mbali.. lakini baada ya hapo sioni tena!!!!
Mbona hapa nyumbani ni wakubwa tu..? Nini kinawakwamisha..? Kwanini wasanii wetu wa filamu ukubwa wao unaishia nyumbani tu....!!? Tatizo ni nini!!!????? kiukweli ni kama inakatisha tamaa na inaonekana...
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Masele apania mapinduzi ya filamu Kanda ya Ziwa
MSANII chipukizi wa filamu za Kibongo mkoani Mwanza, Masele Malekela, amepania kufanya mapinduzi makubwa katika tasnia hiyo kupitia kipaji chake na si kujiuza kama baadhi ya wasanii ambavyo wamekuwa wakifanya...
10 years ago
GPLUZINDUZI WA FILAMU YA ONE MONTH DATE NI MAPINDUZI TOSHA
9 years ago
Habarileo22 Nov
Nani kama Waziri Mkuu Majaliwa
WANANCHI na wasomi wa Ruangwa na Dodoma, wanaamini Tanzania imepata kiongozi anayefahamu changamoto zinazowakabili watanzania wa hali ya kawaida kutokana na uteuzi wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
11 years ago
GPL
10 years ago
MichuziNANI KUJINYAKULIA TUZO ZA FILAMU 2015 KESHO JUMAMOSI!