Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Naomba niseme nawe Magufuli

Kwako ndugu John Pombe Magufuli,

Njonjo Mfaume

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

Sijui niseme ‘rest in peace’ Taifa Cup

Miaka ya 60 hadi 70 kulikuwa na kombe lililokuwa linaitwa Sunlight. Hili lilikuwa linashindaniwa na mikoa, timu za mikoa zilikuwa zikionyeshana kazi kweli kweli.

 

5 years ago

Michuzi

ACHA LEO NISEME UKWELI MZEE WANGU KINANA UJUE NILITAKA KUKUSHANGAA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV .
MZEE wangu Abdulrhman Kinana acha leo niseme ukweli nilitaka kushangaa.Ndio nilitaka kushangaa kuhusu wewe.Unajua kwanini ?Nitaeleza huko mbele ya safari kwenye maelezo yangu.
Hata hivyo kabla ya kuendelea naomba nikurejeshe kwenye kile ambacho mzee Kinana amekizungumza jana akiwa mkoani Arusha baada ya kwenda kumtembelea na kumsalimia Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Arusha.
Akiwa katika ofisi ya CCM Mkoa wa Arusha Kinana amesikika akisema hivi "Ni...

 

10 years ago

Mwananchi

JK: Naomba yasinikute ya Warioba

Rais Jakaya Kikwete amesema anaomba yasimkute ya Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba aliyeshambuliwa katika mdahalo wa katiba uliofanyika Dar es Salaam, juzi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Hunter: Naomba maoni ya mashabiki

MSANII chipukizi wa muziki wa kizazi kipya nchini Hamis Omary ‘Hunter’ amekiri kuwa ubora wa video za nyimbo mbalimbali zinazofanya vizuri katika soko hapa nchini na nje ni kigezo kikubwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenyekiti Samuel Sitta naomba kukukumbusha

MEI 27, 2013  Wizara yako ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki iliandaa semina kwa maofisa habari na mawasiliano katika wizara, idara zinazojitegemea, Wakala na Serikali za Mitaa juu ya Mtangamano wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Okwi: Nilikuwa naomba kila kukicha

SIKU chache baada ya mshambuliaji Emmanuel Okwi kuruhusiwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kukipiga Yanga, amesema alikuwa akiomba kila kukicha utolewe uamuzi sahihi kwake. Okwi alizuiliwa na Shirikisho...

 

10 years ago

Habarileo

JK- Katiba hii nzuri, naomba muipokee

RAIS Jakaya Kikwete ameomba wananchi waipokee katiba inayopendekezwa kwa kuwa ni nzuri na hana wasiwasi nayo. “Tumefika mahali pa kuanza safari ya uamuzi wa mwisho kwa kupiga kura.”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani