ACHA LEO NISEME UKWELI MZEE WANGU KINANA UJUE NILITAKA KUKUSHANGAA
![](https://1.bp.blogspot.com/-3a3X8W22Ro0/XtoYpoRkSYI/AAAAAAALsr4/1DesrrOHgXIBtBXW9PDA-g8LYdffEAwTQCLcBGAsYHQ/s72-c/maoni%252Bpic.jpg)
Na Said Mwishehe, Michuzi TV .
MZEE wangu Abdulrhman Kinana acha leo niseme ukweli nilitaka kushangaa.Ndio nilitaka kushangaa kuhusu wewe.Unajua kwanini ?Nitaeleza huko mbele ya safari kwenye maelezo yangu.
Hata hivyo kabla ya kuendelea naomba nikurejeshe kwenye kile ambacho mzee Kinana amekizungumza jana akiwa mkoani Arusha baada ya kwenda kumtembelea na kumsalimia Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Arusha.
Akiwa katika ofisi ya CCM Mkoa wa Arusha Kinana amesikika akisema hivi "Ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Mzee Jangala: Nilitaka mwanangu awe mwanajeshi
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MKONGWE wa filamu za vichekesho nchini, Bakari Mbelemba maarufu kama Mzee Jangala, amesema alitamani mwanaye wa kwanza wa kiume awe mwanajeshi badala ya kuwa kwenye fani yake ya sanaa.
Mzee Jangala alisema enzi zao walikuwa wanaamini zaidi ukiwa na mtoto mwanajeshi kuna mambo mbalimbali atakuwa anaweza kuyatimiza kama atakuwa na nafasi kubwa.
“Chaguo la kwanza nilitaka mwanangu awe mwanajeshi, kama alikuwa anataka kuwa daktari au kufanya sanaa basi nilipenda avifanye...
10 years ago
Bongo516 Jan
Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/TARUKDkBK7oZRGIVKgIWh1dt2uNaHJbToqfyxGMPeK31FY3q7dmX35nA-x2R*qEL2ocQY4Luun-liQZ9oc4yaL6dA73-v9VN/MAMAWEMAh.jpg?width=650)
AFANDE ACHA HIZO, UKWELI UTAMSAIDIA DAZ BABA!
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Nilitaka Kumuua Mwanangu Mara 3, Leo Ananisaidia!-12
Ilipoishia wiki iliyopita
Ili kujiokoa, nikajikuta nikiruka kutoka juu ya paa la nyumba huku nikipiga mayowe. Nahisi nilipoteza fahamu kabla ya kuanguka chini maana sikukumbuka kilichotokea.
Sasa endelea…
Nilikuja kuzinduka nikiwa nimelala kitandani hospitalini, mwili wote ulikuwa na maumivu na sikuweza hata kujitingisha. Kichwa chote kilikuwa kimefungwa bandeji na macho yangu hayakuweza kuona mwanga.
Nilitambua kama nilikuwa hospitali kutokana na harufu ya dawa na mpishano wa watu. Katika...
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Nilitaka Kumuua Mwanangu Mara 3, Leo Ananisaidia!-11
Ilipoishia wiki iliyopita
Nikiwa nimelala kama saa nane usiku, ghafla nikahisi joto kali chumbani na kwa uzoefu wangu wa Iringa, kipindi kile ni cha baridi. Haraka nikaamka, nikasikia harufu ya moto, nikavaa suruali haraka nikatoka nje. Kulikuwa na moshi mwingi pale kwenye korido, sikuona chochote!Sasa endelea…
Moshi ulikuwa ni mwingi sana kiasi kwamba ingawa taa zilikuwa zinawaka, lakini mwanga wake ulionekana mwekundu usiopitisha nuru yoyote. Na mlango wa chumba changu ukaanza kuingiza...
9 years ago
Raia Mwema07 Nov
Uchaguzi umekwisha, utafiti wangu umekaribia ukweli
TAFITI nyingi zimefayika juu ya Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Privatus Karugendo
11 years ago
GPL05 Jun
10 years ago
Bongo514 Jan
Bob Junior azungumzia kuchelewa kwa kolabo yake na Chameleone, pamoja na ujio wa ablam ya ‘Ukweli Wangu’
11 years ago
Dewji Blog20 Jun
Karibu utabaarku mzee wangu…!
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mzee Mohammed Cheupe kutoka jimbo la Ruangwa ambaye Juni 20, 2014 alitembelea bunge kwa mwaliko wa Mbunge wake, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).