Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: Naomba yasinikute ya Warioba

Rais Jakaya Kikwete amesema anaomba yasimkute ya Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba aliyeshambuliwa katika mdahalo wa katiba uliofanyika Dar es Salaam, juzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE

 Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.
Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, akipongezwa na wanaCCM katika mkutano wa kampeni...

 

9 years ago

Raia Mwema

Naomba niseme nawe Magufuli

Kwako ndugu John Pombe Magufuli,

Njonjo Mfaume

 

10 years ago

Tanzania Daima

Hunter: Naomba maoni ya mashabiki

MSANII chipukizi wa muziki wa kizazi kipya nchini Hamis Omary ‘Hunter’ amekiri kuwa ubora wa video za nyimbo mbalimbali zinazofanya vizuri katika soko hapa nchini na nje ni kigezo kikubwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Okwi: Nilikuwa naomba kila kukicha

SIKU chache baada ya mshambuliaji Emmanuel Okwi kuruhusiwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kukipiga Yanga, amesema alikuwa akiomba kila kukicha utolewe uamuzi sahihi kwake. Okwi alizuiliwa na Shirikisho...

 

10 years ago

Habarileo

JK- Katiba hii nzuri, naomba muipokee

RAIS Jakaya Kikwete ameomba wananchi waipokee katiba inayopendekezwa kwa kuwa ni nzuri na hana wasiwasi nayo. “Tumefika mahali pa kuanza safari ya uamuzi wa mwisho kwa kupiga kura.”

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenyekiti Samuel Sitta naomba kukukumbusha

MEI 27, 2013  Wizara yako ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki iliandaa semina kwa maofisa habari na mawasiliano katika wizara, idara zinazojitegemea, Wakala na Serikali za Mitaa juu ya Mtangamano wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ntalima: Naomba msaada mwanangu akatibiwe nje

>Waswahili husema ‘kuzaa si kazi, bali kazi ni kulea’. Kuzaa ni jambo la kawaida kwa wazazi  ambao hufurahia watoto wao. Kwa wale wanaokosa watoto kutokana na sababu mbalimbali inakuwa balaa kwao.

 

10 years ago

Bongo Movies

Naomba Usinitese, Usiniumize, Usinilize-Shamsa Ford

Nina upendo kwa kila mtu bila ubaguzi, naishi maisha yangu halisi wala siigizi, nina huruma kwa kila mtu, sipendi ugomvi na mtu.

Nakuomba na wewe binadamu kabla hujafikilia kunibania riziki yangu kumbuka nina mtoto ambae anahitaji hiyo riziki.

Wewe binadamu kabla hujanifanyia ubaya wowote kumbuka nina mtoto ambaye kitamuumiza zaidi ya mimi coz furaha yake ni kumuona mama yake.

Wewe binadamu kabla ya kutaka kuniumiza na kutaka kunipa stress za kijinga naomba umfikilie mwanangu ambaye...

 

9 years ago

Vijimambo

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA

Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.  PICHA ZOTE/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOGWaziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akizungumza wakati akiwanadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani