Nape amchokonoa Rostam
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema moja ya magamba yaliyovuka katika chama hicho ni pamoja na aliyekuwa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz. Nape...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEbifnOqun2aId0RN4tlNULECQnzRZIC0hw9A8ulClycjaAFjqmfBLQAlDrsIRUZYo9Rg8ikzKdICXCWxfd0Dj9e1g0nJQmu/FRONTRISASI.gif)
LULU AMCHOKONOA ZARI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p0ZiZvXgHQgNXgxpw2zUxux66JtrKMb2ONLplRJG-MiYGFBgz6yEd29Pzx2IZoXxSpdH5LiytD1WanMvIFrShitXyPSobjbQ/mlele.jpg)
MAI AMCHOKONOA LINAH
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Membe amchokonoa Lowassa kiana
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe, amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoruhusu mtu yeyote kununua urais kama njugu. Alitahadharisha kuwa kama itatokea kada yeyote wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kxa-PchAiXUhO39BbttfQB8qRmMkoCcZxL6EhaM5*i58l-fHKoBn6wf6jUgxlXQOuS-ooT*u7PQdnFLzmi1Re1ET3EOPnYhF/ddfd.jpg?width=650)
MISS TZ AMCHOKONOA ZARI KWA DIAMOND!
9 years ago
Mtanzania03 Sep
Rostam amshukia Slaa
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, amesema kauli zilizotolewa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa kuwa alimpigia simu za vitisho ni kauli za uongo, ubinafsi na upotoshaji.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana, Rostam alisema: “Nilimsikiliza Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Willibrod Slaa jana alipokuwa akizungumza katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
“Kwa mara nyingine kama ilivyo hulka yake miaka yote, Dk. Slaa...
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Rostam Aziz, afiwa na baba
ALIYEKUWA mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, (CCM), amefiwa na baba yake Aziz Abdulrasool (73) jijini Dar es Salaam jana asubuhi. Akizungumza na gazeti hili nyumbani kwa marehemu Oysterbay jana, mtoto...
9 years ago
TheCitizen03 Sep
Rostam Aziz, Mbatia respond to Slaa tirade
10 years ago
Mtanzania04 Mar
Dewji, Rostam waongoza kwa utajiri Tanzania
Mwandishi Wetu na Mashirika ya Habari
MFANYABIASHARA Mohammed Dewji pamoja na Mbunge wa zamani wa Igunga, Rostam Aziz, ndio matajiri zaidi Tanzania.
Kwa mujibu wa orodha mpya ya mabilionea ya mwaka 2015 iliyotolewa na mtandao wa Forbes, Dewji ameshika nafasi ya kwanza nchini akiwa mbele ya Rostam.
Awali nafasi ya kwanza kwa Tanzania ilikuwa ikishikiliwa na mfanyabiashara Rostam.
Dewji (39), mfanyabiashara ambaye pia ni mbunge wa Singida Mjini kupitia CCM, anatajwa na Forbes kuwa na utajiri...
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.
Gazeti hilo limedai kuwa Davina alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.
Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...