Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LULU AMCHOKONOA ZARI!

Mwandishi Wetu UCHOKOZI! Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ëLuluí anatengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine baada ya kudaiwa ‘kujibebisha’ kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ëDiamond Platnumzí, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni kumchokonoa mwandani wa jamaa huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1EBJ5G2 ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MISS TZ AMCHOKONOA ZARI KWA DIAMOND!

Musa mateja Madai mazito! Mshiriki wa Kinyang’anyiro cha Miss Tanzania 2011/12 ambaye alianza harakati za kunyakua taji hilo akitokea Mkoa wa Shinyanga na baadaye kutwaa Taji la Miss Kanda ya Ziwa, Glory Samwel anadaiwa kumchokonoa Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwa kile kinachodaiwa kuwa ana ukaribu wa ‘kimalovee’ na mpenzi wa Zari, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Nasibu Abdul...

 

9 years ago

GPL

LULU AMRITHI ZARI

Madai mazito! Siku chache baada ya kubainika kuwa uwezekano wa mzazi mwenzake na ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kurudi Bongo na kuendelea na uhusiano na jamaa huyo ni mdogo, hatimaye familia ya staa huyo imemtaja Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ kuwa ndiye mrithi wa Zari, Amani lemeelezwa.  Staa wa filamu Bongo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nape amchokonoa Rostam

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema moja ya magamba yaliyovuka katika chama hicho ni pamoja na aliyekuwa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz. Nape...

 

10 years ago

GPL

MAI AMCHOKONOA LINAH

Gladness Mallya
KATIKA kinachoonekana kama kumchokonoa nyota wa muziki Estalina Sanga ‘Linah’, mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ameunga mkono kitendo cha Wema Sepetu kumchukua mpenzi wa Mbongo Fleva huyo Nangari Kombo. Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’. Mai aliweka picha ya Wema akiwa na Kombo kwenye ukurasa wake wa Instagram na kumpongeza kwa kumpata ingawa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Membe amchokonoa Lowassa kiana

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe, amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoruhusu mtu yeyote kununua urais kama njugu. Alitahadharisha kuwa kama itatokea kada yeyote wa...

 

10 years ago

Africanjam.Com

TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI

Tweet

Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!

Mapenzi ya Diamond na Zari The Bosslady tayari yameanza kupata vikwazo kutoka kwa watu wenye nguvu. King Lawrence, anayedaiwa kuwa mpenzi wake na Huddah Monroe na ambaye pia ni mtu wa karibu na dereva wa aliyewahi kuwa mume wa Zari, Ivan Semwanga ametangaza dau la $40,000 kwa Diamond ili amwache mpenzi wake huyo. Jamaa huyo amepost picha Facebook ya screenshot inayoonesha kuwa ni mawasiliano na Zari aliyekuwa akitaka amtumie fedha.Lawrence pia amemuita Diamond ‘Faggot’ neno linalomaanisha...

 

10 years ago

GPL

MUME WA ZARI ANASA KWA SHOSTI WA ZARI

Kampala, Uganda Habari kutoka nyumba ya jirani nchini Uganda ikufikie kwamba aliyekuwa mume wa mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, tajiri Ivan Ssemwanga anadaiwa kunasa penzi la shosti wa kufa na kuzikana wa mkewe huyo aitwaye Stella Nankya, Ijumaa Wikienda limetonywa. Aliyekuwa mume wa Zari akiwa na mpenzi wake mpya ambaye ni shosti wa kufa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani