LULU AMRITHI ZARI
![](http://api.ning.com:80/files/cDEmeB8bWGTJLmJ2QhqbXs8UD*fvTEC8UlA8kApa5D6nzq4wWvr-N2j-o-z0YYGquAmcqH*hlgMLxbSNIFsJZaQfOvaOK721/lulu.jpg?width=650)
Madai mazito! Siku chache baada ya kubainika kuwa uwezekano wa mzazi mwenzake na ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kurudi Bongo na kuendelea na uhusiano na jamaa huyo ni mdogo, hatimaye familia ya staa huyo imemtaja Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ kuwa ndiye mrithi wa Zari, Amani lemeelezwa.  Staa wa filamu Bongo,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEbifnOqun2aId0RN4tlNULECQnzRZIC0hw9A8ulClycjaAFjqmfBLQAlDrsIRUZYo9Rg8ikzKdICXCWxfd0Dj9e1g0nJQmu/FRONTRISASI.gif)
LULU AMCHOKONOA ZARI!
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/P0y0X6852Mc/default.jpg)
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s72-c/Africanjam2.jpg)
TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s1600/Africanjam2.jpg)
Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/10888399_10205933029869831_1858120712732123108_n.jpg)
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/1b.jpg)
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/1a.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0gGC4ZQuxjOijoYvaKbMzMDa-a2Z*mKmfHr88NhhiDHWlHqmFLsSGdM8npzxyonDMbCyHJTSymhLqtCYok*mmStmTOZJDe0i/zaricopy.jpg?width=650)
MUME WA ZARI ANASA KWA SHOSTI WA ZARI
10 years ago
Habarileo17 Sep
Mnyika amrithi Zitto Chadema
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemteua tena Dk Willibrod Slaa kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho kikuu cha upinzani kwa sasa nchini. Hii ina maana kwamba Dk Slaa mwenye umri wa miaka 65, atashika wadhifa huo hadi mwaka 2019. Alianza kushika nafasi hiyo mwaka 2002, akitoka kuwa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, nafasi aliyoishika kuanzia mwaka 1998.
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Kalinga amrithi Nsajigwa Lipuli
KLABU ya Lipuli ya Iringa, imemtangaza Fides Kalinga kuwa kocha mkuu mpya wa kikosi chake, akirithi mikoba iliyoachwa wazi na Shadrack Nsajigwa, aliyetimkia nje ya nchi kucheza soka la kulipwa...
9 years ago
Mtanzania21 Nov
Gaffar amrithi Tenga Cecafa
NA ZAITUNI KIBWANA
HATIMAYE Mutasim Sirelkhatim Gaffar wa Sudan, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), baada ya kupata kura sita kati ya 10 katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika jana mjini Addis Ababa, Ethiopia.
Katika uchaguzi huo, Mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Leodegar Tenga, alijitoa dakika za mwisho kutetea nafasi yake baada ya kuliongoza baraza hilo katika vipindi viwili.
Katika uchaguzi huo, mgombea mwingine ambaye ni bosi wa zamani...
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Kerr amrithi Goran Simba