Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kalinga amrithi Nsajigwa Lipuli

KLABU ya Lipuli ya Iringa, imemtangaza Fides Kalinga kuwa kocha mkuu mpya wa kikosi chake, akirithi mikoba iliyoachwa wazi na Shadrack Nsajigwa, aliyetimkia nje ya nchi kucheza soka la kulipwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

HARUSI YA MBUNGE JOSHUA NASSARI NA ANANDE NNKO KANISA LA PENTEKOSTE KALINGA MERU, YAFANA

Msafara wa gari chache majira ya saa 2:30 ulianza safari katika viwanja vya Usa-River ambako gari za maharusi zilikuwa zikipambwa mdogo mdogo zikapanda Kilima zikiwa na maharusi Joshua Nassari na Anande Nnko safari ilikuwa ni kanisa la Kipentekoste la Kilinga,Meru tayari kwa ajili ya Ndoa.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lipuli yailipua Polisi Moro

LIGI ya soka Daraja la Kwanza (FDL), raundi ya pili, ilianza juzi kwa Lipuli FC kuwapigisha kwata maafande wa Polisi Morogoro kwa kuwaadhibu mabao 3-1 kwenye Uwanja wa CCM Samora...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mashabiki wampiga Mwenyekiti Lipuli FC

MWENYEKITI wa Lipuli FC ya mjini hapa, Abuu Changawa ‘Majeki’, juzi alifanyiwa vurugu na mashabiki wa soka kwa kumshushia kipigo kwa madai ya kuhujumu timu na kushindwa kufanya vizuri katika...

 

9 years ago

Habarileo

Ndabila awazia mabao Lipuli

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Tanzania Prisons na Moro United, Yona Ndabila amesema wamepania kuirejesha Lipuli ya Iringa kwenye Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara msimu ujao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

RC Iringa aitembezea bakuli Lipuli

MKUU wa Mkoa (RC) wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, ameanza kutembeza bakuli kuichangia Lipuli FC inayohitaji zaidi ya sh milioni 28 ili kufanikisha timu hiyo kuendelea na Ligi Daraja la...

 

11 years ago

Mwananchi

UKOCHA: Nsajigwa atua Yanga

>Beki wa zamani wa Yanga, Shadrack Nsajigwa ameanza kazi rasmi ya kukinoa kikosi cha vijana cha timu hiyo (Yanga B), huku akiahidi kuwaandaa wachezaji kwa weledi.

 

9 years ago

Habarileo

Mwakalebela aahidi kuipandisha Lipuli

MGOMBEA ubunge jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Frederick Mwakalebela amesema moja ya mambo atakayoyafanya mara tu baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo ni kuhakikisha timu ya Lipuli FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza inapanda daraja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nsajigwa kuinoa Yanga Kagame

KLABU ya Yanga imewateua Kocha Msaidizi, Mbrazil Leonardo Neiva na beki wa zamani wa timu hiyo na Taifa Stars, Shadrack Nsajigwa ambaye ni kocha wa timu B kusafiri na kikosi...

 

11 years ago

Mwananchi

USAJILI: Simba SC yasajili beki wa Lipuli

>Simba imemsajili beki wa Lipuli na Taifa Stars, Joram Mgeveke kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani