Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwakalebela aahidi kuipandisha Lipuli

MGOMBEA ubunge jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Frederick Mwakalebela amesema moja ya mambo atakayoyafanya mara tu baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo ni kuhakikisha timu ya Lipuli FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza inapanda daraja.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mwakalebela aahidi benki Iringa Mjini

Mgombea wa ubunge Jimbo la Iringa Mjini (CCM), Frederick Mwakalebela amesema endapo atachaguliwa, ataanzisha benki ya wafanyabiashara ikiwa ni mkakati wa kuongeza ajira kwa vijana.

 

10 years ago

Michuzi

NISHATI YA JOTOARDHI KUIPANDISHA HADHI HIFADHI YA WANYAMAPORI SELOUS

 Mkurugenzi wa Mipango na Maendeleo ya Biashara, Mhandisi Kato Kabaka (aliyesimama) kutoka Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania, akitoa elimu ya nishati ya Jotoardhi kwa wafanyakazi wa hifadhi ya wanyamapori Selous na jinsi gani nishati hiyo itaongeza idadi ya watalii. Wafanyakazi wa hifadhi ya wanyamapori Selous na kampuni ya uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania wakimsikiliza kwa makini Mhandisi Kato Kabaka (hayuko pichani) alipokuwa akiwaelimisha namna nishati ya Jotoardhi itakavyoongeza...

 

10 years ago

Habarileo

Ndabila awazia mabao Lipuli

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Tanzania Prisons na Moro United, Yona Ndabila amesema wamepania kuirejesha Lipuli ya Iringa kwenye Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara msimu ujao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mashabiki wampiga Mwenyekiti Lipuli FC

MWENYEKITI wa Lipuli FC ya mjini hapa, Abuu Changawa ‘Majeki’, juzi alifanyiwa vurugu na mashabiki wa soka kwa kumshushia kipigo kwa madai ya kuhujumu timu na kushindwa kufanya vizuri katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lipuli yailipua Polisi Moro

LIGI ya soka Daraja la Kwanza (FDL), raundi ya pili, ilianza juzi kwa Lipuli FC kuwapigisha kwata maafande wa Polisi Morogoro kwa kuwaadhibu mabao 3-1 kwenye Uwanja wa CCM Samora...

 

11 years ago

Tanzania Daima

RC Iringa aitembezea bakuli Lipuli

MKUU wa Mkoa (RC) wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, ameanza kutembeza bakuli kuichangia Lipuli FC inayohitaji zaidi ya sh milioni 28 ili kufanikisha timu hiyo kuendelea na Ligi Daraja la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kalinga amrithi Nsajigwa Lipuli

KLABU ya Lipuli ya Iringa, imemtangaza Fides Kalinga kuwa kocha mkuu mpya wa kikosi chake, akirithi mikoba iliyoachwa wazi na Shadrack Nsajigwa, aliyetimkia nje ya nchi kucheza soka la kulipwa...

 

11 years ago

Mwananchi

USAJILI: Simba SC yasajili beki wa Lipuli

>Simba imemsajili beki wa Lipuli na Taifa Stars, Joram Mgeveke kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA NA MBEYA CITY DROO 1-1 , LIPULI FC YAICHAPA POLISI MOROGORO 3-1

Mashabiki wa Simba
Matokeo  ya mchezo la  ligi kuu  ya  Voda Com si Simba  wala  Mbeya City  baada ya  timu  hizo  zote  mbili kutoka   uwanjani  hapo kwa kifua mbele  cha goli 1-1.Mchezo  huo  ambao  kwa Mbeya  City  ni mchezo wa nyumbani  imeweza  kuonyesha umakini mkubwa wa kugomea  kufungwa  katika uwanja  wa Nyumbani wa Sokoine jijini Mbeya   huku   Simba nayo  ikikwepa " kugagaduliwa " ugenini  kiasi cha kuifanya  Simba  kukomaa na  kusawazisha  goli  la Mbeya  City lililofungwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani