Gaffar amrithi Tenga Cecafa
NA ZAITUNI KIBWANA
HATIMAYE Mutasim Sirelkhatim Gaffar wa Sudan, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), baada ya kupata kura sita kati ya 10 katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika jana mjini Addis Ababa, Ethiopia.
Katika uchaguzi huo, Mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Leodegar Tenga, alijitoa dakika za mwisho kutetea nafasi yake baada ya kuliongoza baraza hilo katika vipindi viwili.
Katika uchaguzi huo, mgombea mwingine ambaye ni bosi wa zamani...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen22 Sep
Tenga leaving Cecafa with some advice
10 years ago
Election09 Apr
CECAFA, TFF Hail Tenga for CAF Re
AllAfrica.com
THE Tanzania Football Federation (TFF) president Jamal Malinzi, has hailed his predecessor, Leodegar Tenga for retaining his seat in the Executive Committee of African Football Confederation (CAF). Malinzi also extended his congratulatory message to ...
TFF joyful as Tenga retains CAF position.IPPmedia
all 2
10 years ago
TheCitizen20 Aug
CECAFA: Azam FC eye Cecafa Cup semis
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Cecafa yatangaza ratiba ya Cecafa Senior Challenge Cup, Tanzania uso kwa uso na Somalia!
Na Rabi Hume
Shirikisho la soka Afrika Mashariki (CECAFA), limetoa ratiba ya mashindano ya Cecafa Senior Challenge Cup yanayotarajiwa kuanza kutimua Novemba 21 nchini Ethiopia.
Mashindano ya mwaka huu yamejumuisha nchi 11 wakiwa wenyeji na moja ikiwa kama mgeni mwalikwa ambayo ni nchi ya Malawi ambayo imeingia katika kundi C ikiwa na nchi zingine za Sudan na Sudan Kusini.
Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza kuchezwa tarehe 21 mwezi huu ambapo mchezo wa ufunguzi utakuwa kati ya;
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cDEmeB8bWGTJLmJ2QhqbXs8UD*fvTEC8UlA8kApa5D6nzq4wWvr-N2j-o-z0YYGquAmcqH*hlgMLxbSNIFsJZaQfOvaOK721/lulu.jpg?width=650)
LULU AMRITHI ZARI
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Kerr amrithi Goran Simba
10 years ago
Habarileo17 Sep
Mnyika amrithi Zitto Chadema
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemteua tena Dk Willibrod Slaa kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho kikuu cha upinzani kwa sasa nchini. Hii ina maana kwamba Dk Slaa mwenye umri wa miaka 65, atashika wadhifa huo hadi mwaka 2019. Alianza kushika nafasi hiyo mwaka 2002, akitoka kuwa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, nafasi aliyoishika kuanzia mwaka 1998.
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Hayatou amrithi Blatter Fifa
ZURICH, USWISI
RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Issa Hayatou, ameteuliwa kuongoza Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa muda baada ya rais wa sasa, Sepp Blatter,kusimamishwa kazi.
Hayatou raia wa Cameroon, amefungua historia mpya barani Afrika kwa kiongozi wa soka barani humu kupata nafasi ya juu kuongoza shirikisho hilo.
Blatter alisimamishwa kazi juzi usiku na Kamati ya Maadili ya Fifa kwa siku 90 (miezi mitatu) sambamba na Katibu Mkuu, Jerome Valcke na Makamu wa Rais, Michel...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Kalinga amrithi Nsajigwa Lipuli
KLABU ya Lipuli ya Iringa, imemtangaza Fides Kalinga kuwa kocha mkuu mpya wa kikosi chake, akirithi mikoba iliyoachwa wazi na Shadrack Nsajigwa, aliyetimkia nje ya nchi kucheza soka la kulipwa...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10