Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape apokelewa kishujaa Mwanza

unnamed

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokelewa na umati wa watu kwenye eneo la mkutano Nyamalango ambapo atahutubia wanachama wa CCM Tawi la SAUT pamoja na wakazi wa maeneo hayo , pamoja na kuhutubia pia Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi atawapokea wanachama zaidi ya 30 wanaotoka Upinzani na kujiunga na CCM.

unnamed (1)

 Wanachama wa CCM SAUT wakionyesha ujumbe kutoka kwenye mabango.

unnamed (2)

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipeana mikono na wanachama wa CCM SAUT kwenye uwanja wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KENYATTA APOKELEWA KISHUJAA NCHINI KENYA

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya (kushoto) akilakiwa na Makamau wa Rais, William Ruto alipowasili JKIA leo alfajiri akitokea The Hague.…

 

10 years ago

GPL

KINANA, NAPE WAFUNIKA JIJINI MWANZA

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwapigia saluti, maelfu ya wananchi, alipowasili kuhutubia mkutano wake wa hadhara aliofanya jana kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Mwanza.  Katibu wa…

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Michuzi

NAPE azungumza na wanachama wa CCM Tawi la SAUT jijini MWANZA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa CCM Tawi la SAUT Kambarage ambapo aliwaambia kuwa wasomi wa vyuo wanatakiwa kuchangia mawazo yao kwenye chama ambayo yatasaidia kuleta mabadiliko hasa ya kiuchumi ,alisema ni vyema kuja na mikakati ya kuonyesha uchumi umepanda kwa mwananchi kuliko huu wa sasa ambao unaonyesha uchumi umepanda lakini ni uchumi wa kwenye makaratasi.Uongozi Tawi la SAUT Kambarage ulimualika Katibu wa Itikadi na Uenezi kuja kushuhudia...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA NAPE NNAUYE WATIKISA JIJI LA MWANZA LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara ya miezi 26 katika mikoa 31 nchini, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. 
Mkutano huo umefanyika kwenye viwanja vya Furahisha, Kirumba jijini Mwanza jioni ya leo. Ndugu Kinana ambaye katika ziara hiyo ameambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye,...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA NA NAPE WAONGOZA MAKUNDI YA VIJANA KUSHIRIKI JOGGING JIJINI MWANZA ASUBUHI HII.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wameongoza makundi ya vijana kutoka Shirikisho la Vyuo Vikuu pamoja na Machinga wa mjini Mwanza kukimbia mchakamchaka (jogging) kwa umbali wa zaidi ya kilometa 2,kuanzia Barabara ya Stesheni,kupitia barabara ya Posta,Kenyatta, Karuta,Lumumba maeneo ya Soko Kuu mpaka Stendi ya zamani Tanganyika.
Viongozi mbali mbali walishiriki mchakamchaka huo akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto Nasra azikwa kishujaa

>Mtoto huyo aliyefariki akiwa na umri wa miaka minne, alifariki Juni Mosi kwenye Hospitali ya Muhimbili kutokana na maradhi ya homa ya mapafu. Aliishi kwenye boksi tangu alipokuwa na umri wa miezi tisa.

 

10 years ago

GPL

Samatta arejea TP Mazembe kishujaa

Mhambuliaji Mbwana Samatta. Na Mwandishi Wetu    
MSHAMBULIAJI Mbwana Samatta sasa anarejea nchini DR Congo kuendelea kuichezea klabu yake ya TP Mazembe, akionekana kama shujaa kutokana na kufaulu licha ya kushindwa kuchukuliwa kucheza Ulaya. Samatta alifanya majaribio katika kikosi cha CSKA Moscow cha Russia ambacho kilikuwa kimeweka kambi nchini Hispania.Meneja wa Mbwana Samatta, Jamal Kisongo amesema baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani