Nassari ashiriki ujenzi wa daraja la Kwa Pole, atoa mifuko 50 yasaruji na vipande 30 vya nondo
Wananchi katika jimbo la Arumeru Mashariki wakishiriki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la Kwa Pole ambalo limekuwa likitumiwa na kina mama hasa wauzaji wa Ndizi.
Ujenzi ukiendelea katika eneo la Ka Pole.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akikabidhi mifuko 50 ya saruji ,vioande 30 vya nondo pamoja na tanki la maji kwa ajili ya Choo cha soko la Ndizi .
Mbunge Nassari akishiki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la kwa Pole.
Ramani ya Ujenzi wa Daraja hilo.
Nassari...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
NASSARI ASHIRIKI UJENZI WA DARAJA LA KWA POLE,ATOA MIFUKO 50 YA SARUJI NA VIPANDE 30 VYA NONDO.






10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Mbunge Joshua Nassari ashiriki ujenzi wa chanzo cha maji kijiji cha Karangai katika jimbo la Arumeru Mashariki




10 years ago
GPL
CHADEMA WATOA POLE KWA WABUNGE MWANAMRISHO ABAMA NA JOSHUA NASSARI
10 years ago
GPL
MBUNGE FILIKUNJOME ATIMIZA PIA AHADI YA UJENZI WA DARAJA MTO KITEWAKA KWA TSH MILIONI 248, ASAIDIA VIFAA VYA UJENZI KWA TSH MILIONI 248
5 years ago
Michuzi
MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE ATOA MIFUKO 50 YA SARUJI KUSAIDIA UJENZI WA MADARASA MANYONI

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe, akikabidhi mifuko ya saruji kwa viongozi wa Wilaya ya Manyoni.

Muonekano meza kuu.

Wazazi wa wanafunzi wa darasa la sita na la saba wa shule ya msingi Sayuni waliofika shuleni hapo kushuhudia makabidhiano ya mifuko ya saruji iliyotolewa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe.

Wanafunzi wa darasa la sita na la saba wa Shule ya Msingi Sayuni, wakiwa katika picha ya pamoja Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa...
5 years ago
MichuziMBUNGE KINGU ATOA SARUJI MIFUKO 30 KUSAIDIA UJENZI WA KANISA LA KKKT KATA YA SEPUKA
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu (wa tatu kushoto)akikabidhi saruji mifuko 30 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Musimi katika Kata ya Sepuka wilayani Ikungi jana.
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu (kulia) akizungumza na wajumbe wa kamati ya ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kinyampembee wakati akikagua ujenzi wa Zahanati hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, akishiriki...
5 years ago
MichuziMBUNGE KINGU ATOA SARUJI MIFUKO 50 KUSAIDIA KUANZA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU WA UVCCM WILAYA YA IKUNGI
10 years ago
Dewji Blog01 May
Mratibu wa asasi ya Better Living Aid atoa wito kwa wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi!
Mratibu wa asasi ya kiraia ya Better Living Aid Bw. Mkala Fundikira leo akiwa amavalia fulana ya mkakati wa Imetosha unaopinga mauaji dhidi ya watu wenye ualbino ambao yeye ni mjumbe wa kamati kuu, ametoa wito kwa wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi mjini Tabora waiunge mkono asasi yake inayodhamiria kujenga...
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
JK atoa salamu za pole kwa wanahabari
RAIS Jakaya Kikwete, amemtumia salamu za rambirambi kwa Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, kuomboleza vifo vya waandishi wa habari, Innocent Munyuku, wa kampuni ya New...