Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nauli ya mabasi yawaliza wanafunzi wa bweni mkoani Tanga

Wanafunzi wanaosoma shule za bweni mkoani hapa, wameitaka Serikali kuweka utaratibu maalumu utakaoainisha nauli wanazopaswa kuzilipa katika mabasi makubwa ya mikoani kama ilivyo kwa daladala.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Nauli za mabasi mikoani zashuka

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imepunguza nauli za mabasi ya mikoani huku ikitangaza kubaki kama zilivyokuwa, zile za daladala baada ya ukokotoaji wake kuonyesha tofauti ndogo ya punguzo kulinganisha na viwango vya sasa.

 

10 years ago

Habarileo

Wamiliki wa mabasi wacharukia nauli

WAKATI wadau wa usafiri nchini wakipendekeza kushuka kwa nauli za daladala na mabasi yaendayo mikoani, wamiliki wa mabasi wametishia kufuta utaratibu wa kutowatoza nauli askari na kuongeza kuwa, hata nauli pungufu za wanafunzi sasa zitakuwa historia.

 

10 years ago

Habarileo

Nauli za mabasi hazitabadilishwa-Sumatra

David MzirayMAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeshikwa kigugumizi kuhusu suala la kushusha nauli ya magari ya abiria kwa kutoa sababu za kisheria pamoja na ukokotoaji wa tozo.

 

10 years ago

Vijimambo

SUMATRA YASHUSHA NAULI ZA MABASI

  Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini(SUMATRA),Gilliard Ngewe akizungumza na waandishi wa habari  kuhusiana na ushushwaji wa nauli za mabasi ya masafa marefu ofisini kwake jijini Dar es salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Udhibiti usafiri wa barabara,Geffrey Silinda akifafanua jambo kwa waandishi wa habari  katika ofisi za Mamlaka ya Uthibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) jijini Dar es Salaam,kulia ni  Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ....: MABASI MAWILI YAGONGANA USO KWA USO LEO MAENEO YA MKATA MKOANI TANGA, WATU ZAIDI YA 10 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA

 Basi la Ngorika likiwa halitamaniki baada ya kugongana uso kwa uso la basi lingine la Kampuni ya RATCO katika ajali iliyotokea mapema leo kwenye eneo la Kijiji cha Mbweni, Mkata mkoani Tanga. kwa mujibu wa Ripota wetu aliopo eneo la tukio,inadaiwa kwamba mpaka sasa ni Watu kumi wamepoteza maisha katika ajali hiyo, akiwepo Dereva wa Basi la Ratco.Chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika mpaka sasa. Globu ya Jamii inafanya jitihada za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga kwa maelezo zaidi.

 

10 years ago

Mwananchi

Sumatra yakomaliwa ishushe nauli za mabasi

Chama  cha Kutetea Abiria (Chakua) kimeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Ardhini Sumatra kukutana na wadau kujadili punguzo la nauli kutokana na kuendelea kuporomoka kwa bei ya mafuta.

 

9 years ago

Mwananchi

Nauli za mabasi ya DART kujadiliwa keshokutwa

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imeandaa mkutano wa kujadili viwango vya nauli za mabasi yatakayotoa huduma ya usafiri wa haraka jijini hapa, keshokutwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi Njombe wateketeza bweni

Shule ya Sekondari ya Wavulana Njombe (Njoss) iliyoko mjini hapa, imefungwa kuanzia jana hadi Novemba 8, mwaka huu, baada ya wanafunzi kuchoma moto bweni, karakana na kuharibu mali mbalimbali za shule na walimu.

 

9 years ago

Mtanzania

Nauli mabasi ya mwendo kasi Sh1,200

mwendo kasiNA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM

KAMPUNI ya UDA-RT imependekeza nauli kubwa itakayotozwa na mabasi ya mwendo kasi, ambayo imezua malalamiko Mapendekezo hayo yanaonesha kuwa nauli itakuwa Sh 1,200 kwa safari za njia kuu, Sh 700 njia za pembeni na Sh 1,400 njia kuu pamoja na njia ya pembeni, huku wanafunzi wakitakiwa kulipa nusu nauli ya mtu mzima.

Hata hivyo nauli hizo zimepingwa na kwamba mjadala mkali unatarajiwa kuibuka leo, wakati Mamlaka ya Udhibiti,Usafiri wa Nchi Kavu na Majini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani