Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Navy Kenzo na Patoranking katika spika zako ‘soon’

Navykenzo

Kundi la muziki linalofanya vizuri na wimbo wake Game, Navy Kenzo, limesema lipo kwenye maandalizi ya mwisho ya kufanya kolabo na msanii wa Nigeria, Patoraking.

Navykenzo

Mmoja wa wasanii wanaounda kundi hilo, Aika ameiambia Bongo5 kuwa kila kitu kiko poa.

“Kila kitu kinaenda sawa, sasa hivi tunajipanga kufanya kolabo na Patoranking,” amesema. “Pia kuna msanii mmoja wa nje ambaye alitutumia ngoma anaitwa Jizzy anataka tufanye remix ya wimbo wake, original alifanya na Ice Prince. Kwahiyo mashabiki...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Navy Kenzo katika Chat ya Video 50 Bora za MTV Base Africa Zilizofanya Vizuri mwaka 2015..

Kundi la Mziki la Navy Kenzo Linaloundwa na Aika na Nahreel wametutoa kimasomaso Watanzania Baada ya Video yao ya Wimbo wa Game Walioshirikiana na Vanessa Mdee Kushika Namba Nne katika Chat ya Video 50 Bora za MTV Base Africa Zilizofanya Vizuri mwaka 2015..Diamond Platnumz na Wimbo wake wa Nana umeshika namba 5 Katika Chat hizo, Wimbo huo wa Nana Pia Umetengenezwa na Producer Nahreel Kitu kinachomfanya Aendelee kuwa Producer Bora zaidi Kuwahi kutokea Tanzania na East Africa kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Navy Kenzo washika #4 katika Video 50 zilizobamba zaidi MTV Base mwaka 2015, wampita Diamond Platnumz

Navy-Kenzo

Kundi la Mziki la Navy Kenzo Linaloundwa na Aika na Nahreel wametutoa kimasomaso Watanzania Baada ya Video yao ya Wimbo wa Game Walioshirikiana na Vanessa Mdee Kushika Namba Nne katika Chat ya Video 50 Bora za MTV Base Africa Zilizofanya Vizuri mwaka 2015.

Diamond Platnumz na Wimbo wake wa Nana umeshika namba 5 Katika Chat hizo, Wimbo huo wa Nana Pia Umetengenezwa na Producer Nahreel Kitu kinachomfanya Aendelee kuwa Producer Bora zaidi Kuwahi kutokea Tanzania na East Africa kwa...

 

9 years ago

Michuzi

Kundi la Muziki la Navy Kenzo Lashika Namba Nne Katika Video 50 Zilizobamba Zaidi MTV Base Mwaka 2015, Wampita Diamond Platnumz

Kundi la Mziki la Navy Kenzo Linaloundwa na Aika na Nahreel wametutoa kimasomaso Watanzania Baada ya Video yao ya Wimbo wa Game Walioshirikiana na Vanessa Mdee Kushika Namba Nne katika Chat ya Video 50 Bora za MTV Base Africa Zilizofanya Vizuri mwaka 2015..
Diamond Platnumz na Wimbo wake wa Nana umeshika namba 5 Katika Chat hizo, Wimbo huo wa Nana Pia Umetengenezwa na Producer Nahreel Kitu kinachomfanya Aendelee kuwa Producer Bora zaidi Kuwahi kutokea Tanzania na East Africa kwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Navy Kenzo wagombewa kimataifa

navyNA SHARIFA MMASI

PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Nahreel na Aika Mareale, wanaounda kundi la Navy Kenzo, wamesema wamepokea maombi ya idadi kubwa ya wasanii wa kimataifa wanaotaka kufanya nao kazi.

Nareal alisema kwamba, maombi hayo kutoka kwa wasanii hao ambao hakutaka kuwaweka wazi kwa kuwa bado hawajakamilisha makubaliano yao yametokana na kufanya vizuri kwa video ya wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee.

Nahreel aliongeza kwamba, video ya wimbo huo imekuwa ikichezwa katika...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Navy Kenzo — Moyoni

Wimbo mpya wa kundi la Navy Kenzo unaitwa ‘Moyoni’.

 

9 years ago

Mtanzania

Navy Kenzo gumzo Nigeria

Navy KenzoNA CHRISTOPHER MSEKENA

KUNDI la Navy Kenzo linaloundwa na wapenzi, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ na Aika Mareale ‘Aika’ limekuwa gumzo nchini Nigeria kutokana na wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee kupigwa mara kwa mara katika redio na televisheni za huko.

Nahreel alisema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watangazaji wa vituo mbalimbali vya redio na runinga vya nchini humo kwa ajili ya mahojiano, huku wengine wakimpongeza kwa wimbo huo unaofanya vizuri nchini humo.

“Wanadai ‘audio’...

 

11 years ago

Bongo5

New Video: Navy Kenzo — Chelewa

Kundi la Navy Kenzo limeachia Video Mpya ya “Chelewa” Video imetaarishwa na Director Enos Olik kutoka Kenya

 

11 years ago

GPL

NAVY KENZO WATINGA GLOBAL TV ONLINE

Wanamuziki wa kundi la Navy Kenzo, Aika na Nahreel wakiwa katika pozi ndani ya Global TV Online. Mtangazaji wa Global TV Online, Pamela Daffa akiwa katika mahojiano na Navy Kenzo (hawapo pichani).…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani